Son of Ex-Minister Malima in historic medical discovery

Hapa naona agenda ya uvumbuzi imehamishiwa kwenye siasa na udini, hivi tanzania tuipendayo ni ipi? kutukanana au kupongezana! mtu akiwa muislamu au mkristo kuna shida gani? Kwani leo hii madaktari wanaotuhudumia mbona hawatuulizi kabila?

Acheni Tanzania iitwe Tanzania, Acheni mijadala ya kibaguzi - kuweni wamoja kama MUNGU anavyotuagiza.
 
Huo ni ukuda kujadili mtanzania na dini yake kama malima kaweka record hyo ni sifa kwa tanzania nzima bila kujali mkristo au muislam ,kama mnakuwa mnakosa cha kuongea ni bora kunyamaza,msilete chuki baina ya watu na watu
 

Kwani mjane wa Prof Malima ni dini gani? Lini alibadili dini yake ya awali? Huu upuuzi wa udini tusiuendekeze sana. Hautusaidiii lolote sisi raia mchanganyiko wa Tanzania.
 

Kuna watu tuwapuuze...kama wanaona wanakerwa sana na tunavyoishi kwa amani Tanzania waende Syria na Iraq, kule ambako ISIS wametengeneza jimbo lao huru wakachanganyane kwa raha zao.
 

Wala huhitaji kufanya utafiti tayari tafiti zipo just google ugali wa muhogo .ugali wa mahindi na mchele .ukila kwa wingi .bila mboga mboga nyingi .vinaathiri uwezo wa kufikiri .tena unga wa mohogo ndio bala zaidi .cheki na watu wanaotokea kwenye eneo ambalo mohogo na kisamvu na kipande cha papa ndio chakula kikuu .their very after sex .kwa sababu ubongo aujitaabishi .kufikiri zaidi kwa kuathiriwa .na ulaje wa wanga kupita kawaida .
 
watu kama hawa wananifanya sometimes nione fahari kuwa mtanzania. naona kina faiza na hilo wanaingiza udini. shame on you wabaguzi wote. VIVA MALIMA. VIVA TANZANIAN SCIENTISTS.
Kwani huyo Prof. Malima(Ex-minister) baba wa huyu mvumbuzi alikuwa nani hasa na ni nini kilimsibu mpaka asiwepo leo, alizeeka!? tujuzane tafadhali.

 
Kwani mjane wa Prof Malima ni dini gani? Lini alibadili dini yake ya awali? Huu upuuzi wa udini tusiuendekeze sana. Hautusaidiii lolote sisi raia mchanganyiko wa Tanzania.
Mkuu Ndahani, asante. Mtu akiishakuwa ni Muislamu Swala 5, Alhaj, then its obvious mkewe atakuwa ni Muislamu!. Hata mke wa Prof. Lipumba alikuwa ...
Thanks.
Pasco
 

Wazaramo hawana ukabila na hawana haja ya kuitana kwenye vikao vya kikabila kama wafanyavyo makabila mengine vyuoni na makazini ndio maana wengi hudhani wazaramo hawapo vyuoni wala makazini kumbe tupo na tunawakimbiza kuanzia vyuoni hadi makazini na hakuna sababu ya kujitangaza kama wao na ushamba wao!
 

hivi wewe pasco kuna kiongozi usiefahamiana nae familia yake na vitu vingine kama hivi kusoma na watoto wao nahisi ungekuwa na kiumri kama cha miaka 65 ungetuambia "jakaya nilikuwa nampiga sana kipindi mimi nipo la 6 ye yupo la 5 s/m msoga muongo sana ww kiumbe
 

Nakusukuru sana mkuu, naendelea na research yangu. Kiukweli ua namchukia sana ambae kila kinachofanywa na mtu hua anahusisha na dini yake, mbona Wakrito walimuunga sana mkono JK mwaka 2005, hivi alikuja kujulikana kua Muislamu baada ya uchaguzi? Mi siamini mafanikio ya Malima (haya ambayo tunayosoma humu and may be atakuja na issue nyingine) yana uhusiano wowote na dini yake, by the way wote tunafahamu jinsi gani watu wa magharibu wasivyohusudu mambo ya dini, kwanza hata vaa yake tu hapo kwenye hiyo picha + paji lake la uso halioneshi kabisa kama ni mzee wa mkeka, tupongezane na kulaumiana kwa Utanzania wetu na wala sio Uislam au Ukristo wetu.
 
Khaa!!! Wewe wa wapi?? Sayansi bongo?? Una wazimu wewe. Bongo kila kitu siasa. Wanakesha wakiomba ebola iingie nchini wafanye siasa. Siasa ni kila kitu kuanzia usafi wa mazingira hadi kikombe cha babu. Ndiyo tulivyojichagulia.

Rohombaya, njo u haraka, kuna mtu ame hack account yako aise!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…