Son of Ex-Minister Malima in historic medical discovery

mwisho wa hizi comment chafu ni pale serikali ya Tanzania itakapopiga marufuku kuuza viroba..
 
Kazi nzuri hongera sana.
Asante kwa kuweka jina la Tanzania katika historia
 

Mkuu huoni kama wewe ni mtu wa ajabu sana!!!!!!!!!!


,,,,,,,,,,mimi ambaesijakutana na wewe unafikiri nikufikirie vipi,, Unaishi kwa maajabu,,
 
Alikuwa mwanafunzi bora wa mwaka huo na si hilo tu pia ndio mwanafunzi bora kutoka africa kupata kutokea.media za uturuki zilimtangaza sana na hapo heshima ya watanzania iliongezeka wakati tunaenda kusoma uturuki kwa sifa alizoziacha.

cok interesan bir sey. ne guzel !!! fazlasin yapsin. Mungu ampe uwezo zaidi. Pamoja na baadhi yetu kukandia na kuona ni jambo dogo ila Jamaa ni Kichwa sana.
 
Ahahahahhhhh, nimechekaje mchana huu
JF never boring The Boss

Khaa!!! Wewe wa wapi?? Sayansi bongo?? Una wazimu wewe. Bongo kila kitu siasa. Wanakesha wakiomba ebola iingie nchini wafanye siasa. Siasa ni kila kitu kuanzia usafi wa mazingira hadi kikombe cha babu. Ndiyo tulivyojichagulia.
 
Last edited by a moderator:
Asikubali kuambiwa rudi na ccm watampoteza ataishia kuwa fisadi tu
 
Mkuu huoni kama wewe ni mtu wa ajabu sana!!!!!!!!!!
,,,,,,,,,,mimi ambaesijakutana na wewe unafikiri nikufikirie vipi,, Unaishi kwa maajabu,,
Mkuu Data, asante!. Mwanzo uliniita tapeli, nilipo kuuliza utapeli wangu ni upi, sasa umekuja na hoja za mimi ni mtu wa ajabu sana!, as if natoka outer space?!. Ninaishi kwa maajabu?!, hapo wala sijakuambia kama mimi ni vegetarian, na unaweza usiamini kuna watu wanaishi kwa kula hewa tuu wanaitwa "breathpetarians" nikikumbia mimi ni mmoja wao si ndio utakimbia kabisa!. Mwanzo nilifikiri una data!, sasa nimeamini kumbe umedata tuu!.

Asante.

Pasco.
 
- Saafi sana hawa ndio wanafaa KUPEWA uraia pacha

Le Big Show

Umeambiwa ana URAIA wa MAREKANI ? au unataka OBAMA ampe Uraia ?? Sababu; Huyu kijana bado ni researcher Doctrate kwahiyo ana VISA ya kumtosha...

c.c
W. J. Malecela
 
Huo ni ukuda kujadili mtanzania na dini yake kama malima kaweka record hyo ni sifa kwa tanzania nzima bila kujali mkristo au muislam ,kama mnakuwa mnakosa cha kuongea ni bora kunyamaza,msilete chuki baina ya watu na watu

Na asilimia kubwa ya hawa ma scientists ni binadamu ambao hawaamini uwepo wa Mungu sina uhakika sana kama kuna mtu anamjua huyu jamaa fika katika masuala ya imani yake, huwezi jua kuwa alikuwa muislamu/mkristo na sasa kaamua kuwa atheist, satanist n.k
 
Nitaifuatilia hii device inaonekana ni nzuri kama itafanikiwa
 
We wa father K pia?grad. 1990!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…