Foffana
JF-Expert Member
- Oct 29, 2022
- 861
- 1,547
DIZASTA VINA ~ STRING THEORY ๐ถ
๐๐ฝWataalam wa Physics nadhani wanaijua vizuri sana hii, na kwakuwa ni taaluma za watu, naomba nirekebishwe kiustaarab pale nitakapopuyanga ๐ ๐๐พ
Tunaambiwa hii "STRING THEORY" ni miongoni mwa Theory ambayo huwezi kuiProve......Nikimuhusisha na "DIZASTA Vina" naona ni mulemule, hakuna Msanii mwenye uwezo wa kumChalenjii Dizasta Vina na akaachwa bila Manundu ya Tungo.
๐๐ฝTunaambiwa pia "STRING THEORY" ni miongoni mwa Theory ambazo hazina FORMULA ya moja kwa moja, matokeo yake zipo "Equations" kadhaa tuu.
Ni kama kwa "VINA" tuu, ukisema ujaribu kumchambua huyu jamaa, itakuhitaji Siku kadhaa na akili ya ziada, na bado itakupa shida kutokana na TUNGO zake ๐๐พ
๐๐ฝUkweli ni kwamba Mtaalam anaweza kuwa Miongoni mwa wataalam wa kujigamba juu ya Beat huku wakiwa wanaizingatia Kalamu pia.....hii " STRING THEORY"๐ถ ni ngoma kalii sana.
"Trubadour" mbona kama nae ameondoka na kijiji hivi, ama ni masikio yangu? ๐ค
HIPHOP ya kweli ipo UNDERGROUND ๐๐พ
Copy and paste from Dullah the King