Song: String Theory by Dizasta Vina

Song: String Theory by Dizasta Vina

Foffana

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2022
Posts
861
Reaction score
1,547
DIZASTA VINA ~ STRING THEORY 🎶

👉🏽Wataalam wa Physics nadhani wanaijua vizuri sana hii, na kwakuwa ni taaluma za watu, naomba nirekebishwe kiustaarab pale nitakapopuyanga 😅👊🏾

Tunaambiwa hii "STRING THEORY" ni miongoni mwa Theory ambayo huwezi kuiProve......Nikimuhusisha na "DIZASTA Vina" naona ni mulemule, hakuna Msanii mwenye uwezo wa kumChalenjii Dizasta Vina na akaachwa bila Manundu ya Tungo.

👉🏽Tunaambiwa pia "STRING THEORY" ni miongoni mwa Theory ambazo hazina FORMULA ya moja kwa moja, matokeo yake zipo "Equations" kadhaa tuu.

Ni kama kwa "VINA" tuu, ukisema ujaribu kumchambua huyu jamaa, itakuhitaji Siku kadhaa na akili ya ziada, na bado itakupa shida kutokana na TUNGO zake 👊🏾

👉🏽Ukweli ni kwamba Mtaalam anaweza kuwa Miongoni mwa wataalam wa kujigamba juu ya Beat huku wakiwa wanaizingatia Kalamu pia.....hii " STRING THEORY"🎶 ni ngoma kalii sana.

"Trubadour" mbona kama nae ameondoka na kijiji hivi, ama ni masikio yangu? 🤔

HIPHOP ya kweli ipo UNDERGROUND 👊🏾
20240805_170749.jpg

Copy and paste from Dullah the King
 
Hip hop ni mziki wa ajabu sana, kuna watu ni wanaharakati ila sasa kuna wale wasanii. Dizasta ni kama mwanaharakati ila bado hajaweza kuingia kwenye mziki mtonyo.

Akikaa vibaya ataangukia kwa brothers waliotangulia kwenye game mfano Nash MC na Nikki Mbishi.

Speaking about mtu wakumtoa dizasta knock out kwenye rap game, Dizasta hamfikii Nikki Mbishi hata 45% ya uwezo wake. Nikki ni moto mwingine ila alianguka vibaya sana.
 
Back
Top Bottom