Song: String Theory by Dizasta Vina

Kwanza humjui ndomana unamuona dizasta kama wa wa juzi...

Jamaa Kaanza game miaka ya 2008 huko na Ku record siriousy 2012 akiwa na miaka 19 tu.

Mpaka leo 2025 ni mwendo wa Ma album tu yaani graph yake inapanda sio kushuka.

Angekua wa kushuka kama Nikki angeshashuka kitamboo

Ye mwenyewe anakwambia anafurahi Kua Underate maana HII inafanya Kua na hasira kama ndio anaanza Kumbe star.

sipendi kulinganisha watu Dizasta ni Dizasta na Nikki ni Nikki.
 
A.k.A ngugi
A.K.A okot p' bitek
akili kisoda hawawez kumwelewa
huyo mtu. Kwanza Ni hazina ya taifa.
Halafu hizi hoja walizo toa hao wanao mponda Alisha zijibu kwenye Ngoma zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…