Song: String Theory by Dizasta Vina

Song: String Theory by Dizasta Vina

Hip hop ni mziki wa ajabu sana, kuna watu ni wanaharakati ila sasa kuna wale wasanii. Dizasta ni kama mwanaharakati ila bado hajaweza kuingia kwenye mziki mtonyo.

Akikaa vibaya ataangukia kwa brothers waliotangulia kwenye game mfano Nash MC na Nikki Mbishi.

Speaking about mtu wakumtoa dizasta knock out kwenye rap game, Dizasta hamfikii Nikki Mbishi hata 45% ya uwezo wake. Nikki ni moto mwingine ila alianguka vibaya sana.
Kwanza humjui ndomana unamuona dizasta kama wa wa juzi...

Jamaa Kaanza game miaka ya 2008 huko na Ku record siriousy 2012 akiwa na miaka 19 tu.

Mpaka leo 2025 ni mwendo wa Ma album tu yaani graph yake inapanda sio kushuka.

Angekua wa kushuka kama Nikki angeshashuka kitamboo

Ye mwenyewe anakwambia anafurahi Kua Underate maana HII inafanya Kua na hasira kama ndio anaanza Kumbe star.

sipendi kulinganisha watu Dizasta ni Dizasta na Nikki ni Nikki.
 
A.k.A ngugi
A.K.A okot p' bitek
akili kisoda hawawez kumwelewa
huyo mtu. Kwanza Ni hazina ya taifa.
Halafu hizi hoja walizo toa hao wanao mponda Alisha zijibu kwenye Ngoma zake
 
Back
Top Bottom