Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupe mbora wako aisee.....Uyu jamaa mnamkuza sana
Kwanza humjui ndomana unamuona dizasta kama wa wa juzi...Hip hop ni mziki wa ajabu sana, kuna watu ni wanaharakati ila sasa kuna wale wasanii. Dizasta ni kama mwanaharakati ila bado hajaweza kuingia kwenye mziki mtonyo.
Akikaa vibaya ataangukia kwa brothers waliotangulia kwenye game mfano Nash MC na Nikki Mbishi.
Speaking about mtu wakumtoa dizasta knock out kwenye rap game, Dizasta hamfikii Nikki Mbishi hata 45% ya uwezo wake. Nikki ni moto mwingine ila alianguka vibaya sana.
Noma kabisa 😂Na una dada pia anapakatwa na anasaula
Tunamfahamu jina anaitwa Paula