Songea boys, shule kongwe iliyosahaulika

Songea boys, shule kongwe iliyosahaulika

bloggerboy

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2017
Posts
568
Reaction score
1,217
Hello guys,

Wale wote Songea Almun tukutane tufanye jambo kwa shule yetu, tuna jambo la kufanya.

Tunaanzisha WhatsApp group yetu
Screenshot_20220323-173513.jpg
 
Hello guys,

Wale wore Songea Almun tukutane tufanye Jambo kwa shule yetu,tuna Jambo la kufanya

Tunaanzisha Watsup group yetu
View attachment 2162027
Nimekumbuka aina ya gari hiyo tulikuwa nayo pale Iyunga Technical secondary School miaka ya 96 tukianza form one tuliikuta na kuitumia. Shule za Serikali zilizokuwa na gari hizo ni Chache Sana enzi zile.
 
... P. O. Box 2, Songea? Kweli shule kongwe! Centre number yake ni S-ngapi?
 
Hizi shule karibia zote zilifanyiwa ukarabati...

Imekuaje hio ikasahaulika,, Shule niliyosoma miaka hio Kwiro boys nilipata taarifa imekarabatiwa inapendeza japo ni kitambo kirefu sana sijaiona...

Jengeni kwanza familia zenu,, hio shule ni jukumu la serikali... ila ikiwapendeza mkaiweke sawa tu
 
No fitina tu za mwendazake

Eti Lisa rafiki zake 89% walisoma hapo
 
Back
Top Bottom