Songea boys, shule kongwe iliyosahaulika

Hizi shule karibia zote zilifanyiwa ukarabati...

Imekuaje hio ikasahaulika,, Shule niliyosoma miaka hio Kwiro boys nilipata taarifa imekarabatiwa inapendeza japo ni kitambo kirefu sana sijaiona...

Jengeni kwanza familia zenu,, hio shule ni jukumu la serikali... ila ikiwapendeza mkaiweke sawa tu
Kwiro Boys kwa Headmaster George Opiyo?
 
😂😂😂😋 ilo roli lmenkumbusha mara sec lipo ivoivo yan? 2005
Nilikuwa naliona likipita jirani na Musoma Alliance School (Musoma Tech. School), hasa mitaa ya Nyarusurya, Makondeko, hadi Nyasho.

By the way, hata pale Tech. pia lilikuwepo. Tumepanda sana tukifata maji Makoko during water shortage.
 
yap wakati wa shida ya maji sie ilkua Palm beach pale
 
Mkuu bloggerboy unataka kufanya jambo la maana. Utaratibu ukoje? Hiyo ni shule yetu. Nilimaliza kidato cha sita pale mwaka 2004. Hilo lori limetubeba sana...
 
Hizi shule karibia zote zilifanyiwa ukarabati...

Imekuaje hio ikasahaulika,, Shule niliyosoma miaka hio Kwiro boys nilipata taarifa imekarabatiwa inapendeza japo ni kitambo kirefu sana sijaiona...

Jengeni kwanza familia zenu,, hio shule ni jukumu la serikali... ila ikiwapendeza mkaiweke sawa tu
Kwiro boys washaikarabati...
 
....Azimio 4... white house ndo ilikuwa Dom langu...daaa cube kibao kule ...shadooof nin ...wali wa Kwa mama mlokole ...commmoon
Osib,

Jiandae ktk kuisupport shule yetu ya kipekee
 
Azimio 3 , Ujamaa dom. Shamba la shule tulikuwa tunalima mahindi, Zamu ya kuchunga ng'ombe. Mihogo na viazi vitamu ndio vilikuwa vitafunwa na vya sh 20 tu unashiba na kusaza...box 2 (2004 form four)
 
Hili litakuwa darasa la akina John Gama, John Nchimbi, Afraha Yusuph na wengineo....niko sawa ndugu yangu? Ila Songea Boys tamu sana ile shule kimaisha...mwalimu wa maisha wa kupigiwa mfano
 
Back
Top Bottom