bloggerboy
JF-Expert Member
- Nov 13, 2017
- 568
- 1,217
Isuzu direct injection.Hiyo ni gari aina gani?
Nimekumbuka aina ya gari hiyo tulikuwa nayo pale Iyunga Technical secondary School miaka ya 96 tukianza form one tuliikuta na kuitumia. Shule za Serikali zilizokuwa na gari hizo ni Chache Sana enzi zile.Hello guys,
Wale wore Songea Almun tukutane tufanye Jambo kwa shule yetu,tuna Jambo la kufanya
Tunaanzisha Watsup group yetu
View attachment 2162027
Vipi ulimaliza lini pale Songes boys?π€£Nice
No fitina tu za mwendazakeHizi shule karibia zote zilifanyiwa ukarabati...
Imekuaje hio ikasahaulika,, Shule niliyosoma miaka hio Kwiro boys nilipata taarifa imekarabatiwa inapendeza japo ni kitambo kirefu sana sijaiona...
Jengeni kwanza familia zenu,, hio shule ni jukumu la serikali... ila ikiwapendeza mkaiweke sawa tu
HahahahaVipi ulimaliza lini pale Songes boys?π€£
Vipi ulimaliza lini pale Songes boys?π€£
La mara sec ni jeupe mkuuππππ ilo roli lmenkumbusha mara sec lipo ivoivo yan? 2005
Mara sec 2005 chini ya master Nyang'ahondi na second wake Morega Mongate aloooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji39] ilo roli lmenkumbusha mara sec lipo ivoivo yan? 2005
Huyo Morega Mongate yupo Ndanda nilimkuta pale 2013.Mara sec 2005 chini ya master Nyang'ahondi na second wake Morega Mongate aloooo