Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Hii ndiyo Isuzu hata ikipinduka bendera zake hubaki zinapepea.Hello guys,
Wale wore Songea Almun tukutane tufanye Jambo kwa shule yetu,tuna Jambo la kufanya
Tunaanzisha Watsup group yetu
View attachment 2162027
Kwiro Boys kwa Headmaster George Opiyo?Hizi shule karibia zote zilifanyiwa ukarabati...
Imekuaje hio ikasahaulika,, Shule niliyosoma miaka hio Kwiro boys nilipata taarifa imekarabatiwa inapendeza japo ni kitambo kirefu sana sijaiona...
Jengeni kwanza familia zenu,, hio shule ni jukumu la serikali... ila ikiwapendeza mkaiweke sawa tu
Nilikuwa naliona likipita jirani na Musoma Alliance School (Musoma Tech. School), hasa mitaa ya Nyarusurya, Makondeko, hadi Nyasho.😂😂😂😋 ilo roli lmenkumbusha mara sec lipo ivoivo yan? 2005
yap wakati wa shida ya maji sie ilkua Palm beach paleNilikuwa naliona likipita jirani na Musoma Alliance School (Musoma Tech. School), hasa mitaa ya Nyarusurya, Makondeko, hadi Nyasho.
By the way, hata pale Tech. pia lilikuwepo. Tumepanda sana tukifata maji Makoko during water shortage.
153... P. O. Box 2, Songea? Kweli shule kongwe! Centre number yake ni S-ngapi?
Yap Palm Beach pale, OK OK!yap wakati wa shida ya maji sie ilkua Palm beach pale
Isuzu Tipper hiyoHiyo ni gari aina gani?
Kwiro boys washaikarabati...Hizi shule karibia zote zilifanyiwa ukarabati...
Imekuaje hio ikasahaulika,, Shule niliyosoma miaka hio Kwiro boys nilipata taarifa imekarabatiwa inapendeza japo ni kitambo kirefu sana sijaiona...
Jengeni kwanza familia zenu,, hio shule ni jukumu la serikali... ila ikiwapendeza mkaiweke sawa tu
... hebu ielezee vizuri; ni Isuzu TXD Direct Injection.Isuzu Tipper hiyo
Wazee wenye "kazi zao utawajua tu'... hebu ielezee vizuri; ni Isuzu TXD Direct Injection.
Osib,....Azimio 4... white house ndo ilikuwa Dom langu...daaa cube kibao kule ...shadooof nin ...wali wa Kwa mama mlokole ...commmoon
Khasante Kaka,Mkuu bloggerboy unataka kufanya jambo la maana. Utaratibu ukoje? Hiyo ni shule yetu. Nilimaliza kidato cha sita pale mwaka 2004. Hilo lori limetubeba sana...
ExactlyHii ndiyo Isuzu hata ikipinduka bendera zake hubaki zinapepea.
Oh! Kumbe MjukuuMkuu bloggerboy unataka kufanya jambo la maana. Utaratibu ukoje? Hiyo ni shule yetu. Nilimaliza kidato cha sita pale mwaka 2004. Hilo lori limetubeba sana...
Bwana mdogo unanijua? Nilikuwa Azimio pale pia...ha ha ha ha ha haAzimio 3 , Ujamaa dom. Shamba la shule tulikuwa tunalima mahindi, Zamu ya kuchunga ng'ombe. Mihogo na viazi vitamu ndio vilikuwa vitafunwa na vya sh 20 tu unashiba na kusaza...box 2 (2004 form four)
Hili litakuwa darasa la akina John Gama, John Nchimbi, Afraha Yusuph na wengineo....niko sawa ndugu yangu? Ila Songea Boys tamu sana ile shule kimaisha...mwalimu wa maisha wa kupigiwa mfanoAzimio 3 , Ujamaa dom. Shamba la shule tulikuwa tunalima mahindi, Zamu ya kuchunga ng'ombe. Mihogo na viazi vitamu ndio vilikuwa vitafunwa na vya sh 20 tu unashiba na kusaza...box 2 (2004 form four)