Songea boys, shule kongwe iliyosahaulika

Box 2 wala mayao daah kitambo 1994-1997 bweni Azimio 4(kipindi hiko tupo na kundi la The Wailers Bangi hatari)[emoji1787]Songea Shule ya Sekondari,ni Sekondari ya Wavulana,twaipenda sana Shule yetu yatulea vyema vijana,Elimu tupatayo,iwafae na wenzetu,popote Tanzania kwa Maendeleo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji836]
 
Ulipiga A-level?
 
Ilishakarabatiwa, tena ilikua ktk mpango wa kwanza. 2017
 
Ilishakarabatiwa, tena ilikua ktk mpango wa kwanza. 2017
Asante kwa taarifa mkuu,, nimeiona na hakika inapendeza kweli,,, zile vigae zote wametoa wameweka bati safiiii.

Memories back then
 
Kwiro boys washaikarabati...

Nafurahi sana kusikia hvo mkuu,, itabidi siku nifunge safari... maana nilisikia na mto kilombero pia kuna Daraja siku hizi..Japo nililiona kwenye TV itabidi nikashuhudie live coz those days ilikuwa changamoto sana pale
 
Yeah,mto kilombero kuna daraja zuri sana, linaitwa daraja la magufuli...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…