Songea: Makanisa mawili yateketezwa kwa moto

Makanisa karibu yote ni wachumia tumbo kwa jinsi moja ama nyingine.
Kusingekuwa na mishahara na madaraka ndani ya makanisa, neno uchumia tumbo lisingekuwa na nafasi. Ila makanisa ya sasa yana uhusiano na utwala wa nchi, vyeo na fedha kama mishahara. Watumishi wake watafanya kazi kwa msukumo wa aidha nadaraka, cheo au wadhifa katika nchi fedha au marupurupu mengine. Ni tofauti kabisa na kanisa katika karne mbili za mwanzo.
Hayo yanayo onekana ni stable na makubwa, stability yake imetokana na mambo hayo hapo juu.
Ukristo wa kweli umebaki na mkristo mmoja mmoja tu anae hamasishwa na imani, ila wafanyakazi kanisani wao wana hamasika na aidha fedha katika mfumo wowote ule Iwe mishahara au biashara, aidha wengine cheo na madaraka pamoja na umaarufu kuliko imani yenyewe ya kikristo.
Hii imepelekea kuwa na taasisi kubwakubwa hivi.
Kanisa la mwanzoni halikuwa taasisi yenye kumiliki mali na fedha nyingi kama ilivyo sasa. Makanisa haya yametumika kupata nguvu za kisiasa na sauti serikalini.
 
Makanisa karibu yote ni wachumia tumbo kwa jinsi moja ama nyingine.
Kusingekuwa na mishahara na madaraka ndani ya makanisa, neno uchumia tumbo lisingekuwa na nafasi. Ila makanisa ya sasa yana uhusiano na utwala wa nchi, vyeo na fedha kama mishahara. Watumishi wake watafanya kazi kwa msukumo wa aidha nadaraka, cheo au wadhifa katika nchi fedha au marupurupu mengine. Ni tofauti kabisa na kanisa katika karne mbili za mwanzo.
Hayo yanayo onekana ni stable na makubwa, stability yake imetokana na mambo hayo hapo juu.
Ukristo wa kweli umebaki na mkristo mmoja mmoja tu anae hamasishwa na imani, ila wafanyakazi kanisani wao wana hamasika na aidha fedha katika mfumo wowote uke Iwe mishahara au biashara, aidha wengine cheo na madaraka pamoja na umaarufu kuliko imani yenyewe ya kikristo.
Hii imepekejea kuwa na taasisi kubwakubwa hivi.
Kanisa la mwanzoni halikuwa taasisi yenye kumiliki mali na fedha nyingi kama ilivyo sasa. Makanisa haya yametumika kupata nguvu za kisiasa na sauti serikalini.
naona umetiririka wakati hata taarifa haisemi nini chanzo ,unapata nguvu wapi ya kuandika bla bla nyingi wakati hata hujui chanzo ya mgogoro
 
Kumbe unajua kua taarifa haikusema hata chanzo ni nini! sasa wewe unapokata mauno kutuhumu dini nyingine unakua upo timamu au ndio akili za usiku zinakusumbua?
 
Waumini wanakesha wakisali kwa nguvu na kufungulia mziki wa injili wenye sauti kubwaaa...kero
 
Wajameni tafadhaaaaaaali sana wenye mamlaka msaidie wafunguzi wa makanisa kwa maana ya wachungaji na wamiliki wa makanisa walau wawe na shahada ya theology tafadhaaaaaaali.
 
Watakuja hapa wakwambie una mapepo mkuu.
 
Back
Top Bottom