Songea mbona haibadiliki? Kuna tatizo gani na mmekuwa na Mawaziri toka miaka ya 1960?

Kifupi kama umetokea dar huko kwingine kote ni vijijini mwaka Jana nilienda Mbeya Dec nikiamni nitaenjoy aisee nilichoka anyway kitu pekee nilifurahia ni upishi mzuri sana wa kitimoto nje ya hapo hakuna kitu
Hapo umenene,nilivyokuwa naisikia mbeya[emoji23]

Nilijuaga ni bonge la jiji,kumbe ni itupolo tu.
 
Kwa ruvuma mji uliochangamka kidogo ni mbinga. Sio tunduru, songea ama namtumbo. Mbinga inakuwa kwa kasi sana ukifananisha na hiyo miji mingine
Wanaishiaga songea hao,mbinga hawaijui,

Waambie waje mbinga to mbamba bay wajionee,,

Wachaga/wahaya wanavyofanya maajabu,
 
Mbamba bay ndiyo kuna unafuu , hata sehemu za kutoka zipo huku ukipunga upepo ziwa Nyasa.
 
Eti hakuna muingiliano wa watu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mbona mnachekesha sana[emoji23]
 
Kutokea Dar.
Ni kweli, ila kuna Kigoma Mara, Kagera na hata mwanza, ukikaa kwenye basi mpaka unachoka milo yote mitatu unakula safari, ila huko kwa watani zangu, ni milo miwili tu safarini.
 
Watu wa Dar bana,mnavyoina songea binafsi na mie ninavyoiona hii mikoa ilivyo haina maajabu

Dar. Kuchafu jiji linanuka kuna kila aina ya uchafu,

Mbeya ni kakijiji kalikochangamka kapo varangati,
 
Watu wa Dar bana,mnavyoina songea binafsi na mie ninavyoiona hii mikoa ilivyo haina maajabu

Dar. Kuchafu jiji linanuka kuna kila aina ya uchafu,

Mbeya ni kakijiji kalikochangamka kapo varangati,
Unachokitafuta utakipata
Tunaongelea songea, Ruvuma, sio dar Wala Mbeya! Bora ungeongelea .... Au basi
 
Mmakonde chi ntu,Apo Ni mmakonde sio mtu
 
Kuachana na maendeleo ya vitu ,Ila songea wanafaidi vyakula,unaenda kula mahala wali kuku ,unaletewa bongemsosii mzito ,Tena kuku wakienyeji karibu nusu ,kwa buku jero tu
 
Kifupi kama umetokea dar huko kwingine kote ni vijijini mwaka Jana nilienda Mbeya Dec nikiamni nitaenjoy aisee nilichoka anyway kitu pekee nilifurahia ni upishi mzuri sana wa kitimoto nje ya hapo hakuna kitu
Kwan huko dar kwanzia magomeni ,manzese,mabibo,tandale,mbulahati,kigogo,temeke,kigamboni,mbagala,gongo la mboto,
Kuna mipango miji au unaongea Ili uonekane naww unachangia mada
 
Daaaa elim n kitu Cha msingi sana
Kwaiyo ww unazan GDP ndo kipimo perfect chakupima standard of living mungu akusaidie maaana unasafali ndefu sana mpaka uje kufika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…