Bora umenena,wengine huko mikoani kwao kubovu hatari,na hakuna chochote cha maanaPost #15 ndiyo jibu, enyi viumbe msiosikie wala kutaka kuelewa.....wakaidi.
Tusipoukubali ukweli huo zitashuka nyuzi humo za kuponda kila sehemu (ingawa najua kusini ndo wahanga no.1 wa hili......huwa wanapondwa mpaka na watu wanaotoka kwenye kata zilizosheni vibanda vilivyoezekwa na kinyesi cha ng'ombe, tena ndo wengi hao hatari. Nimemuona mmoja keshajitokeza hapo juu anasema yeye hata siku moja tu imemshinda kuishi lindi na hivyo yuko njiani anaelekea sehemu nyingine. Hahahahahaha, hongera yake!)
Haya, huyo mdau wa post hiyo alichoshwa na mbeya baada ya kukuta mambo tofauti na alivyokuwa anafikiria (bila shaka mitandaoni kama hivi). Sasa kutabaki wapi tena kusikopondwa ikiwa hata tunalojivunia kuwa ni jiji lina hali hiyo.
Kwa Tanzania hii, NJE YA DAR, sijaona tu sehemu yenye hadhi ya kutosha kuponda sehemu nyingine. Tunahangaika tu. Tuhamasishane kufanya kazi labda tutaendelea huko mbele....watoto, vijana, watu wazima na wazee kutoka pande zote za nchi hii, kila siku, wanakimbilia au wanaitamani dar.
Hakuna totozi huku
Kama unataka totozi, Songea kuna uhaba na ukame sana
Sijaona mizigo wala watoto weupe huku
Wengi ni weusi sana kama Mbeya tu na wafupi wafupi sana
Namtumbo sio tu haina maendeleo ya vitu, hadi mademu hakuna, ni wilaya ya ajabu sana hakuna wasichana/ mabinti ,kuna wamama na wazee
Kwa hili siwaachi😁Mtuache[emoji108],
...... Songea tatizo ipo mbali na kila mkoa aisee. Imejitenga kinoma .....
Unaamuaje sasa?Kwa hili siwaachi[emoji16]
Madaku gaoUnaamuaje sasa?
Kwani tumekula chenu??
Mbona mnapenda kutufuatilia??
Mshafika mkoa wa mara??
Ninaamua kuja kuoa Namtumbo, ndio hata sasa niko Mara hapa Mugumu,karibu tule kichuriUnaamuaje sasa?
Kwani tumekula chenu??
Mbona mnapenda kutufuatilia??
Mshafika mkoa wa mara??
Ohooo WiFi tena, Kaka yako si atakatika kiuno sanaJamani [emoji23][emoji23][emoji23] ndio unawapondea wifi zangu hivyo
ChihimwisiMadaku gao
Haja kosea tatizo huna exposureHivi ni kweli kuna Mtanzania aliesoma Shule hata ya msingi tu, tena ndani ulimwengu wa Smart Phone hajui kuandi kwa usahihi jina la kila mkoa Tanzania. ingekua kutamka sishangai maana kuna makabila kutamka baadhi ya herufi ni ngumu kutokana kiluga chao. Eti N'twara ha ha.
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Nimecheka, yeye hana exposure alafu anakosoaMkuu wewe ndio Umekosea sasa
Watu wa Mtwara hakuna M huko bali kuna N
Mtu wanasema ntu
Mwanamke wanasema Mwananke
Jamaa ni mzoefu anawafahamu
Yapenda Mtini naona ndio symbol ya Bar pale mjini maeneo ya deluxeLamory la chazl na yapenda mtini kula Sana Bata...karib Lindi Paris ama biashara kesho nichek
Ni mpango wa CCM Kagera ikanyagiwe chini isiendelee. Tangu uhuru mpaka leo ni kahawa ya Kagera tu inayoitwa magendo pale mkulima anapouza kwa wafanyabiashara wa Uganda wenye bei nzuri. Sehemu nyingine magendo ni bidhaa zinazoingizwa nchini kinyemela.Kagera na ruvuma Bora ruvuma mkuu. Kagera Ni masikini miaka yote pamoja na kuwa na wasomi wengi lakini washamba Sana wameshindwa kuendelea kwao.
Sasa ushasema wasomi..halafu wasomi hao washamba[emoji23]Kagera na ruvuma Bora ruvuma mkuu. Kagera Ni masikini miaka yote pamoja na kuwa na wasomi wengi lakini washamba Sana wameshindwa kuendelea kwao.
Hata Dar ni mbaliKwakweli Songea ni Mbali ila napapenda sana.
Utajiri wa mikoa kwa calculation za NBS unatokana na idadi ya watu.Lakin mbona NBS inautaja kuwa top five ya mikoa tajiri nchini kwa GDP kuzidi mikoa maarufu kama Kilimanjaro, kagera nk
NBS inataja mkoa wa Ruvuma kama mkoa wa nane nchini kwa maisha bora[emoji23] sasa sijui wanatumia vigezo vip
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app