Songea mbona haibadiliki? Kuna tatizo gani na mmekuwa na Mawaziri toka miaka ya 1960?

Songea mbona haibadiliki? Kuna tatizo gani na mmekuwa na Mawaziri toka miaka ya 1960?

Mkoa huu uko exaggerated mdomoni mwa watu yaani ujanja na umaarufu wa Kabila la Wangoni mjini huku haulingani na maendeleo ya mkoa wao, nilipata bahati ya kufika hapo June nikashangaa kukuta kamji kadogo kalikotenganishwa na barabara ya Lami kati na the only standard facility niliyoiona ni Ruhuwiko hotel /hunt club. In short Mtwara ndio leading place kwa hii mikoa ya kusini Ruvuma, Lindi na Mtwara ingawa hapavumi!
IMG_20220620_074308.jpg
IMG_20220619_171258.jpg
 
Post #15 ndiyo jibu, enyi viumbe msiosikie wala kutaka kuelewa.....wakaidi.

Tusipoukubali ukweli huo zitashuka nyuzi humo za kuponda kila sehemu (ingawa najua kusini ndo wahanga no.1 wa hili......huwa wanapondwa mpaka na watu wanaotoka kwenye kata zilizosheni vibanda vilivyoezekwa na kinyesi cha ng'ombe, tena ndo wengi hao hatari. Nimemuona mmoja keshajitokeza hapo juu anasema yeye hata siku moja tu imemshinda kuishi lindi na hivyo yuko njiani anaelekea sehemu nyingine. Hahahahahaha, hongera yake!)

Haya, huyo mdau wa post hiyo alichoshwa na mbeya baada ya kukuta mambo tofauti na alivyokuwa anafikiria (bila shaka mitandaoni kama hivi). Sasa kutabaki wapi tena kusikopondwa ikiwa hata tunalojivunia kuwa ni jiji lina hali hiyo.

Kwa Tanzania hii, NJE YA DAR, sijaona tu sehemu yenye hadhi ya kutosha kuponda sehemu nyingine. Tunahangaika tu. Tuhamasishane kufanya kazi labda tutaendelea huko mbele....watoto, vijana, watu wazima na wazee kutoka pande zote za nchi hii, kila siku, wanakimbilia au wanaitamani dar.
Bora umenena,wengine huko mikoani kwao kubovu hatari,na hakuna chochote cha maana
 
Hakuna totozi huku

Kama unataka totozi, Songea kuna uhaba na ukame sana

Sijaona mizigo wala watoto weupe huku

Wengi ni weusi sana kama Mbeya tu na wafupi wafupi sana

Jamani [emoji23][emoji23][emoji23] ndio unawapondea wifi zangu hivyo
 
Miji yote bongo ni full stress na umaskini uliokithiri, miji mingi ilikuwa mizuri miaka 70 iliyopita wakati wa mkoloni, CCM ni disaster na miaka 70 ijayo mambo yatakuwa worse kuliko sasa
 
Jamani [emoji23][emoji23][emoji23] ndio unawapondea wifi zangu hivyo
Ohooo WiFi tena, Kaka yako si atakatika kiuno sana

Mwambie awe makini na watu wa Songea na Mtwara, kiuno wanazungusha watu wa huko kama feni nasikia

Kiuno hakina spea Madukani awe makini
 
Hivi ni kweli kuna Mtanzania aliesoma Shule hata ya msingi tu, tena ndani ulimwengu wa Smart Phone hajui kuandi kwa usahihi jina la kila mkoa Tanzania. ingekua kutamka sishangai maana kuna makabila kutamka baadhi ya herufi ni ngumu kutokana kiluga chao. Eti N'twara ha ha.
Haja kosea tatizo huna exposure

Mtwara kule wanasema Ntwara......
 
Mkuu wewe ndio Umekosea sasa
Watu wa Mtwara hakuna M huko bali kuna N

Mtu wanasema ntu

Mwanamke wanasema Mwananke

Jamaa ni mzoefu anawafahamu
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Nimecheka, yeye hana exposure alafu anakosoa
 
Lamory la chazl na yapenda mtini kula Sana Bata...karib Lindi Paris ama biashara kesho nichek
 
Lamory la chazl na yapenda mtini kula Sana Bata...karib Lindi Paris ama biashara kesho nichek
Yapenda Mtini naona ndio symbol ya Bar pale mjini maeneo ya deluxe

Jamaa naona amesimamia show kitambo kama muhindi hivi na Biashara zao, Kuna miaka walitaka kupabomoa hapo watu wa manispaa

Yule Jamaa kiziwi mtoto wa mmliki bado ndio anaiendesha?
 
Kagera na ruvuma Bora ruvuma mkuu. Kagera Ni masikini miaka yote pamoja na kuwa na wasomi wengi lakini washamba Sana wameshindwa kuendelea kwao.
Ni mpango wa CCM Kagera ikanyagiwe chini isiendelee. Tangu uhuru mpaka leo ni kahawa ya Kagera tu inayoitwa magendo pale mkulima anapouza kwa wafanyabiashara wa Uganda wenye bei nzuri. Sehemu nyingine magendo ni bidhaa zinazoingizwa nchini kinyemela.
Tetemeko likapiga, wahisani wakatoa mamilioni kufidia wahanga CCM ikawachinjia baharini. Mambo ni mengi ila kila mtu sasa hivi anafurahi kusikia Kagera ni masikini.
 
Kagera na ruvuma Bora ruvuma mkuu. Kagera Ni masikini miaka yote pamoja na kuwa na wasomi wengi lakini washamba Sana wameshindwa kuendelea kwao.
Sasa ushasema wasomi..halafu wasomi hao washamba[emoji23]
Mbona unajichanganya mwenyew...

Mtu aliyesoma si atakuwa anajua vitu vingi kuliko hasiye...sasa atakuwaje mshamba..

Una chuki zako wala huna hoja
 
Lakin mbona NBS inautaja kuwa top five ya mikoa tajiri nchini kwa GDP kuzidi mikoa maarufu kama Kilimanjaro, kagera nk

NBS inataja mkoa wa Ruvuma kama mkoa wa nane nchini kwa maisha bora[emoji23] sasa sijui wanatumia vigezo vip

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Utajiri wa mikoa kwa calculation za NBS unatokana na idadi ya watu.

Mfano: Kama Darasa Lina wanafunzi 100 lakini 20 wakapata maksi za just na 15 wakapata sifuri. Na Darasa jingine lenyewe wanafunzi 10 na wote wakapata maksi za wastani bila sifuri.

Hili lenye wanafunzi wachache litakuwa JUU zaidi na litaonekana ni Bora.
 
Back
Top Bottom