Ravalomanana
JF-Expert Member
- Sep 8, 2018
- 1,557
- 1,540
Lindi sijafiķa ila ndugu zangu wanasema mji umepoa mnoUnaenda Lindi? Bora ughairi.
Mi ndio nipo hapa same kama wewe nimekuja kuzurura. Aisee. Nilikua nimejiandaa kwamba Lindi pakiwaki ila nimekuta pakiwaki zaidi tena na tena.
Nilipanga nikae 2 days niende N'twara sahivi nipo kwenye gari nasepa. Ngoja nikaone iyo Mtwara na Masasi.
Tukirudi kwenye mada: Songea tatizo ipo mbali na kila mkoa aisee. Imejitenga kinoma. Imagine Songea to Njombe.
Acha pumba Mzee..Kwamba ulijua Mbeya inafanana na wapi labda?Hapo umenene,nilivyokuwa naisikia mbeya[emoji23]
Nilijuaga ni bonge la jiji,kumbe ni itupolo tu.
Sasa kukiwa mbali kuna shida gani?Kutokea Dar.
Kwanza 80% ya watu wa Dar wanaishi huko kwenye uswazi na Kuna Nuka..Kwan huko dar kwanzia magomeni ,manzese,mabibo,tandale,mbulahati,kigogo,temeke,kigamboni,mbagala,gongo la mboto,
Kuna mipango miji au unaongea Ili uonekane naww unachangia mada
Walalamishi Tzn hii wako Dar sijawahi sikia kwingine wakilalamika.Pa kisenge kinoma, watu wa kule kila sku kulalamika serikali imewatenga
Huwa nasikia raha Sana nikiona wale Boko Boko wa Dar wakilalamika 😜😜..2025 songea na wilaya zote huku
Kura zote kwa ccm[emoji123],
Muendelee kukandamizwa huko mikoani kwenu,
Tunahakikisha unga mtanunua kilo sh,5000 na maharage kilo sh,8000
Hatunaga stress,tumeridhika na songea yetu.
Unajua maana ya ushamba wewe? Unadhani kusoma kunaondoa ushamba? Watu wa huko bukoba na kanda ya ziwa kwa ujumla muna ushamba Tena ule wa asili Yani hamubadiliki kabisa. Hata muende wapi mutajulikana tu akina nshomile ..kwenu hamupaendelezi eti munasubiri serikali ..ujuaji mwingi na kujiona ninyi Ni Bora kumbe Ni ushamba tu umewajaa ..dada zetu wamepewa Hadi mtaa apo dar kisa umalaya. Hamuna jipya ninyi ndio maana umasikini umewajaa ..Mimi Sina chuki na wahaya Ila huo ushamba wenu ndio unawacost.Sasa ushasema wasomi..halafu wasomi hao washamba[emoji23]
Mbona unajichanganya mwenyew...
Mtu aliyesoma si atakuwa anajua vitu vingi kuliko hasiye...sasa atakuwaje mshamba..
Una chuki zako wala huna hoja
Wakati mwingine munaeza ilaumu serikali Ila wahaya wenyewe hawapataki kwao ..wasomi wahaya hawajafanya cha maana uko bukoba. Sana Sana akijitahidi atajengaa kinyumba kimoja kijijini. Maendeleo kwa ujumla yanaanza na nyie wenyeji then serikali inafuata. Kuhusu tetemeko hayo Ni majanga ya asili japo serikali ukifanya unyama Sana kuwaacha wahanga bila chochote.Ni mpango wa CCM Kagera ikanyagiwe chini isiendelee. Tangu uhuru mpaka leo ni kahawa ya Kagera tu inayoitwa magendo pale mkulima anapouza kwa wafanyabiashara wa Uganda wenye bei nzuri. Sehemu nyingine magendo ni bidhaa zinazoingizwa nchini kinyemela.
Tetemeko likapiga, wahisani wakatoa mamilioni kufidia wahanga CCM ikawachinjia baharini. Mambo ni mengi ila kila mtu sasa hivi anafurahi kusikia Kagera ni masikini.
Sina uhakika kama unapajua vizuri Kagera. Hata tukifanya bado mkuu wa mkoa anatoa matusi, Kinana akifika anajifanya kumsifia. Angalia hii kaziWakati mwingine munaeza ilaumu serikali Ila wahaya wenyewe hawapataki kwao ..wasomi wahaya hawajafanya cha maana uko bukoba. Sana Sana akijitahidi atajengaa kinyumba kimoja kijijini. Maendeleo kwa ujumla yanaanza na nyie wenyeji then serikali inafuata. Kuhusu tetemeko hayo Ni majanga ya asili japo serikali ukifanya unyama Sana kuwaacha wahanga bila chochote.
Sioni hoja hapa zaidi ya mihemuko tu...au ushavuta bangi ya chuga tayari...Unajua maana ya ushamba wewe? Unadhani kusoma kunaondoa ushamba? Watu wa huko bukoba na kanda ya ziwa kwa ujumla muna ushamba Tena ule wa asili Yani hamubadiliki kabisa. Hata muende wapi mutajulikana tu akina nshomile ..kwenu hamupaendelezi eti munasubiri serikali ..ujuaji mwingi na kujiona ninyi Ni Bora kumbe Ni ushamba tu umewajaa ..dada zetu wamepewa Hadi mtaa apo dar kisa umalaya. Hamuna jipya ninyi ndio maana umasikini umewajaa ..Mimi Sina chuki na wahaya Ila huo ushamba wenu ndio unawacost.
Na iringa,Acha pumba Mzee..Kwamba ulijua Mbeya inafanana na wapi labda?
Yaani wanateseka balaa[emoji23][emoji23]Huwa nasikia raha Sana nikiona wale Boko Boko wa Dar wakilalamika [emoji12][emoji12]..
Tozo wanalalamika,
Chakula wanalalamika,
Stand na mwendokasi wanalalamika,
Yaani kila kitu wanalalamika [emoji38][emoji38]
Hayo makuku ya kisasa ni shida..yamesongamana kwenye vichumba utadhani wako zizini [emoji16][emoji16]
Kwetu burudani[emoji23]Huwa nasikia raha Sana nikiona wale Boko Boko wa Dar wakilalamika [emoji12][emoji12]..
Tozo wanalalamika,
Chakula wanalalamika,
Stand na mwendokasi wanalalamika,
Yaani kila kitu wanalalamika [emoji38][emoji38]
Hayo makuku ya kisasa ni shida..yamesongamana kwenye vichumba utadhani wako zizini [emoji16][emoji16]
Wewe umepotea Lindi amazing hujapajulia tu sehemu za Bata zimetengwa kabisa. Na vybez mziki ruksa mpaka saa10 alfajiri, Mji wa starehe ndio huo, Shimo la Africa Hilo, Nenda contena la sababa ukapate jeans mtumba Kali grade nzuri opposite na kabla kidogo ya soko la mboga mbogaUnaenda Lindi? Bora ughairi.
Mi ndio nipo hapa same kama wewe nimekuja kuzurura. Aisee. Nilikua nimejiandaa kwamba Lindi pakiwaki ila nimekuta pakiwaki zaidi tena na tena.
Nilipanga nikae 2 days niende N'twara sahivi nipo kwenye gari nasepa. Ngoja nikaone iyo Mtwara na Masasi.
Tukirudi kwenye mada: Songea tatizo ipo mbali na kila mkoa aisee. Imejitenga kinoma. Imagine Songea to Njombe.
Muhagama ana jipya gani zaidi ya kutetea serikali?Mawaziri wa type ya Jenista Mhagama? wanajua kujaza matumbo yao na kusifia ili kulinda nafasi zao.
Wanajitoa ufahamu tyuuh hapa lol.Hawajui tukifunga mipaka watakufa njaa,