Ravalomanana
JF-Expert Member
- Sep 8, 2018
- 1,557
- 1,540
Lindi sijafiķa ila ndugu zangu wanasema mji umepoa mnoUnaenda Lindi? Bora ughairi.
Mi ndio nipo hapa same kama wewe nimekuja kuzurura. Aisee. Nilikua nimejiandaa kwamba Lindi pakiwaki ila nimekuta pakiwaki zaidi tena na tena.
Nilipanga nikae 2 days niende N'twara sahivi nipo kwenye gari nasepa. Ngoja nikaone iyo Mtwara na Masasi.
Tukirudi kwenye mada: Songea tatizo ipo mbali na kila mkoa aisee. Imejitenga kinoma. Imagine Songea to Njombe.