Songea mbona haibadiliki? Kuna tatizo gani na mmekuwa na Mawaziri toka miaka ya 1960?

Songea mbona haibadiliki? Kuna tatizo gani na mmekuwa na Mawaziri toka miaka ya 1960?

2025 songea na wilaya zote huku

Kura zote kwa ccm[emoji123],

Muendelee kukandamizwa huko mikoani kwenu,

Tunahakikisha unga mtanunua kilo sh,5000 na maharage kilo sh,8000

Hatunaga stress,tumeridhika na songea yetu.
 
Dah 🤣🤣🤣🤣
 
Speaking from Experience..

Nani kakudanganya mkoa wa Ruvuma unga ni tatizo? Kwa Mkoa wa Ruvuma tatizo la unga labda ni kwa wilaya ya Tunduru ila Songea, Namtumbo, Nyasa na Mbinga maduka yanayouza unga ni ya kutafuta.

Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
 
Haujanielewa,,songea/mbinga mahindi kama yote,kwanza huku ukipima unga unaonekana ni mwenye maisha magumu,

Naongelea wa dar na mikoa mingine
 
Songea Mjini ukitaka upate refreshment utembee mida ya jioni uwe na usafiri. Kama ulifika Bombambili ukakaa Hapo Hapo utasema mji mbaya. Piga Route kutoka Shule ya Tanga,Msamala,Bombambili,Matarawe,Mjini,SeedFarm, Ruhuwiko
MTU kaishia bombambili hata luhuwiko msamala,mfaranyaki hapajui, anakuja kushupaza shingo hapa,songea haiendelei,,,,sijui watu wajenge kwenye lami??
 
MTU kaishia bombambili hata luhuwiko msamala,mfaranyaki hapajui, anakuja kushupaza shingo hapa,songea haiendelei,,,,sijui watu wajenge kwenye lami??
Songea Mjini pametanuka sana tofauti na Zamani, Makaa ya Mawe Kitai yametoa ajira na magari makubwa mengi yanapita njia ya Njombe na Tunduru raia wameanza kujiongeza Kwa kuweka Parking za kulaza magari na Lodge njiani
 
Post #15 ndiyo jibu, enyi viumbe msiosikie wala kutaka kuelewa.....wakaidi.

Tusipoukubali ukweli huo zitashuka nyuzi humo za kuponda kila sehemu (ingawa najua kusini ndo wahanga no.1 wa hili......huwa wanapondwa mpaka na watu wanaotoka kwenye kata zilizosheni vibanda vilivyoezekwa na kinyesi cha ng'ombe, tena ndo wengi hao hatari. Nimemuona mmoja keshajitokeza hapo juu anasema yeye hata siku moja tu imemshinda kuishi lindi na hivyo yuko njiani anaelekea sehemu nyingine. Hahahahahaha, hongera yake!)

Haya, huyo mdau wa post hiyo alichoshwa na mbeya baada ya kukuta mambo tofauti na alivyokuwa anafikiria (bila shaka mitandaoni kama hivi). Sasa kutabaki wapi tena kusikopondwa ikiwa hata tunalojivunia kuwa ni jiji lina hali hiyo.

Kwa Tanzania hii, NJE YA DAR, sijaona tu sehemu yenye hadhi ya kutosha kuponda sehemu nyingine. Tunahangaika tu. Tuhamasishane kufanya kazi labda tutaendelea huko mbele....watoto, vijana, watu wazima na wazee kutoka pande zote za nchi hii, kila siku, wanakimbilia au wanaitamani dar.
 
Back
Top Bottom