Songea: Sita jela miaka 50 kwa kutaka kuipindua Serikali ya Tanzania ili kuanzisha Taifa la Kiislamu

Je mwinyi ni raisi wa nani kati yangu mimi na wewe?
Mbona unazidi kumzalisha sehemu nyingi kuliko huyo unayemuabudu Kama mungu aliyekamatwa kichakani akiwa na kijana aliyeiweka chupi kichwani ?
 
Mungu ninaemuabudu mimi ni aliziumba mbingu na nchi na bro Muhammad anamjua
 
Alishikwa kichakani akiwa na kijana uchi

And there followed him a certain young man, having a linen cloth cast about his naked body; and the young men laid hold on him: and he left the linen cloth, and fled from them naked.
— Mark 14:51,52
 
CCM na propaganda zenu mnakimbia Katiba mpya. Tokea lini gaidi kufungwa miaka 6?
Sijawahi hata siku moja kukusikia unawakemea Magaidi wa Kislamu,
We ni kuwatetea tu.
Unahisa nao nini.
 
Hata Mbowe aliambiwa gaidi baada watu kuiba kura

Leteni katiba mpya hadithi Za kiagidi zimepitwa na wakati
 
Kupindua serikali hasa kwa mikakati ya kidini sio jambo rahisi ila watu wakilewa ulevi wa dini chakari wanaweza kuota ndoto na kufanya mambo ya ajabu sana.
Wasabato masalia walikita kambi karibu na uwanja wa ndege wa wakiamini watasafiri kwenda nje ya nchi bila passport au visa.
Hatujakataaa ila bado hii case hai make sense, kutokana na ukubwa wake, unadhan kupindua serikali ni jambo rahisi? Afu soma maelezo yake. Utajua watu kwann wanaona bado haipo clear.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kupindua serikali hasa kwa mikakati ya kidini sio jambo rahisi ila watu wakilewa ulevi wa dini chakari wanaweza kuota ndoto na kufanya mambo ya ajabu sana.
Wasabato masalia walikita kambi karibu na uwanja wa ndege wa wakiamini watasafiri kwenda nje ya nchi bila passport au visa.
Dini zote mbaya, ulevi wake unaleta matendo ya ajabu sana.
Walokole watakanyaga mafuta.
Waislam wanajilipua au kuua watu.
 
Hata Mbowe aliambiwa gaidi baada watu kuiba kura

Leteni katiba mpya hadithi Za kiagidi zimepitwa na wakati
Nenda Tunduru mpakani mwa Msumbiji, wapo huko hao unaosema wamepitwa na
wakati.
Usitake kutuzuga kwenye Katiba huku mnataka kuchukua nchi kinguvu.
Ngoja tuwashughurikie kwanza mkiacha huo upuuzi wenu, tutaendelea na Mchakato wa Katiba.
 
hikumu mkristo ,mawakili wa serikali wote wakristo .tuseme wote ALLAH AKBAR
 
Nenda Tunduru mpakani mwa Msumbiji, wapo huko hao unaosema wamepitwa na
wakati.
Usitake kutuzuga kwenye Katiba huku mnataka kuchukua nchi kinguvu.
Ngoja tuwashughurikie kwanza mkiacha huo upuuzi wenu, tutaendelea na Mchakato wa Katiba.
Mnakimbia Katiba nilikwenda huko Hao vijana wanataka demokrasia ya kweli nyinyi mnawapiga na kuwabambikizia kesi. Wekeni katiba mpya msilete upuuzi
 
Hangaikeni na maji na umeme kwanza,
Umeme ambao mnatumia bure..bili ya umeme inawashinda kulipa mpaka msubiri msamaha wa rais.

Ally kessy alisema hicho kisiwa ukipulizaa filimbi wote wanatoka ndani.

#MaendeleoHayanaChama
 
Nani anadaiwa, Tz au Waajemi?
Kati ya nchi zinazoidai Tz waajemi ndio wanadeni kubwa wanalotudai.

#MaendeleoHayanaChama

JamiiForums1266747583.jpg
 
Umeme ambao mnatumia bure..bili ya umeme inawashinda kulipa mpaka msubiri msamaha wa rais.

Ally kessy alisema hicho kisiwa ukipulizaa filimbi wote wanatoka ndani.

#MaendeleoHayanaChama
 
Attachments

  • VID-20221220-WA0012.mp4
    45.8 MB
Back
Top Bottom