Songea: Sita jela miaka 50 kwa kutaka kuipindua Serikali ya Tanzania ili kuanzisha Taifa la Kiislamu

Songea: Sita jela miaka 50 kwa kutaka kuipindua Serikali ya Tanzania ili kuanzisha Taifa la Kiislamu

Wangefungwa hata maisha hao wapuuzi,wamelishwa akili za kipuuzi ili wapindue nchi halafu waifanye ya kiislamu ili iweje?hii iwe fundisho
 
Kuna mijitu mijinga ita amini kilicho aandikwa hapa.

Mtu kavaa kavaa kofia tu au kwa kuwa ana ndevu nyingi kama osama basi anaweza kupindua tanzania??? Hana hata rungu


Kupindua nchi huko mna maanisha anamtoa na rais mawaziri na wabunge alafu anaweka dolar ya kiislamu kwa misingi ipi


Ni mjinga tu na mwenye kichaaa ndio atakubaliana na hayo maamuzi ya mahakama.
Takbiir
Yale matukio ya kuvamia vituo vya polisi, Yale matukio kule amboni tanga, Yale matukio ya kibiti, na Sasa yale matukio ya msumbiji na mtwara yote hayo wala sio kweli? Bado unaamini watu waliofanya yale matukio wanasingiziwa?

Kwa nn wavaa kobazi mnajitoa sana akili?
 
habari kutoka mahakamani Songea
Screenshot_20221220-132358_1.jpg
 
Mnatuvuruga sasa jama. Kule juu mwenzio kasema miaka 50 wewe unasema 30
 
Back
Top Bottom