Songea: Sita jela miaka 50 kwa kutaka kuipindua Serikali ya Tanzania ili kuanzisha Taifa la Kiislamu

Songea: Sita jela miaka 50 kwa kutaka kuipindua Serikali ya Tanzania ili kuanzisha Taifa la Kiislamu

Hao jamaa wana bahati hadi sasa kuwa hai kama makosa waliyotuhumiwa kwayo ni ya kweli.

Kuna matukio yaliwakuta raia wema ya ukatili mbaya toka kwa watu wa mlengo huo mkoa wa Mtwara, Lindi na baadhi ya maeneo ya Pwani, hivyo wanasema ukiua kwa upanga na wewe utauawa kwa upanga.
 
Baada ya kuingia madarakani kwa kupora uchaguzi, sasa wanatengeneza consipirancy theories ili kutishia watu. Ni hivi, hakuna namna itafanyika zaidi ya machafuko ama kupindua nchi ili kuwatoa madarakani hawa wezi wa kura.
 
Takbiir
Yale matukio ya kuvamia vituo vya polisi, Yale matukio kule amboni tanga, Yale matukio ya kibiti, na Sasa yale matukio ya msumbiji na mtwara yote hayo wala sio kweli? Bado unaamini watu waliofanya yale matukio wanasingiziwa?

Kwa nn wavaa kobazi mnajitoa sana akili?
Angekuwa mhanga wa matukio hayo wala asingesema alichosema.
Ninakumbuka kipindi matukio baadhi yanafanywa na hao watu nilikuwa karibu na eneo la tukio kipindi hicho, aisee asikwambie mtu yaani hao watu wasikie tu.
Ngoja niishie hapo
 
Ukisikia Takbirrrrrrrrrrrrrr
Kimbia mbio,
JamiiForums1983166745.gif
 
Hii dini ya kishenzi ifutwe tu ,halafu huyo mungu wao Allah atakuwa anamatatizo ya akili.
Acha Matusi zidi ya Imani za wengine .kumbuka hakuna uhusiano wowote Kati ya Ugaidi na Uislam ni Watu Wachache tu watumia Mlango wa Dini kutaka kukidhi hitaji la Kisiasa Mkumbuke Joseph koni wa Lord Resistance Army Uganda na Ant Baraka ya Central Africa Walitumia Ukristo kufanya Siasa na kuunda Waasi.
Tafadhari usigombane na ndugu zako jamaa zako kwa huo Mtazamo hasi juu ya Imani ya Kiislam ni Imani Safi ambayo haina hayo unavyofikiri.
 
kutaka kuipindua Serikali ya Tanzania , kwani wanamiliki Jeshi au silaha?
Serikali ya kidemokrasia ikiwashinda wananchi ni nini cha kufanya ili wananchi wanusuriki?
Unawajua Boko Haram na Al shabab? Hawa ni nyoko wakishachafukwa.
 
Mmmmh hizo adhabu wangekuwa wanapewa pia mafisadi ingependeza
Ukiitwa uthibitishe ufisadi unaweza thibitisha?
Magaidi sio wa kuwaonea huruma, iwe wameonewa au la wacha iwe fundisho
 
Hivi kweli watu sita wanapindua serikali kwa kutumia visu? Maana hawakupatikana na silaha.

Kufanya fujo ingeeleweka.
Haujaelewa vizuri. Hapo walikuwa wanaanza kusuka kikosi yaani wapo hatua ya awali jinsi ya kupata watu, kukaa vikao, wafadhili n.k
Unaikumbuka Boko Haramu? Ilianzishwa na mtu mmoja anayeitwa Mohamed Ali 2002 ilianza kama mchezo tu lakini serikali ya Nigeria inapata wakati mgumu sana kuwamaliza hao watu.
 
Ukiitwa uthibitishe ufisadi unaweza thibitisha?
Magaidi sio wa kuwaonea huruma, iwe wameonewa au la wacha iwe fundisho
Ushahidi wao magaidi ni upi ukute walikutwa wanasoma Quran kwa masjidi
 
Hivi kweli watu sita wanapindua serikali kwa kutumia visu? Maana hawakupatikana na silaha.

Kufanya fujo ingeeleweka.
Serikali inapinduliwa kwakuondoa mtu mmoja tu. Rais pekee. Kwahiyo ukifanikiwa kumuuondoa huyo umeshapindua kiongozi.
 
Hii case ni ya kutungwaa, na ni uongo mtupuuu, kuna kitu hapa kipo nyuma ya hii case.

Duuuuuh hatareeee.

Sent using Jamii Forums mobile app
Upo period binti? Usipende kubisha kila kitu wengine huku ndiko kwetu inapotokea mtu asiyejua kusoma wala kuandika halafu akaja kuikariri elimu ya kiislamu huwa matokeo yake yanakuwa mabaya
 
Serikali ingefungia kukesha misikitini watu wanafundishans ujinga sana mle
Kuwe na muda maalum wa kwenda kuswali wakimaliza ifungwe mpaka muda mwingine wa swala
Misikiti ndio wanamofundishana karate na kuhifadhi silaha.

#MaendeleoHayanaChama
 
Hivi kweli watu sita wanapindua serikali kwa kutumia visu? Maana hawakupatikana na silaha.

Kufanya fujo ingeeleweka.
Kuna kosa la kula njama. Kula njama ni mipango tu, haihitaji silaha. Ni Moja kati ya makosa ambayo kitendo chake hakijafanyika bado, ila Nia(dhamira;(mind) inakuwa imekamilika tayari. Hivyo unaadhibiwa Kwa Hilo.
 
Kuna mijitu mijinga ita amini kilicho aandikwa hapa.

Mtu kavaa kavaa kofia tu au kwa kuwa ana ndevu nyingi kama osama basi anaweza kupindua tanzania??? Hana hata rungu


Kupindua nchi huko mna maanisha anamtoa na rais mawaziri na wabunge alafu anaweka dolar ya kiislamu kwa misingi ipi


Ni mjinga tu na mwenye kichaaa ndio atakubaliana na hayo maamuzi ya mahakama.
Wewe jitoe akili kutetea hao wapuuzi..ila ukweli unaujua..hao watu ndio waliojificha msumbiji na wana undugu wakaribu na walioupande wa tz.

Hao sio wakufunga ni kuua kabisa.

#MaendeleoHayanaChama
 
Huwa wanaanzaga tararibu,mkichelewa ndo matokeo wanakuwa kundi kubwa sana la kigaidi kama alishabab,al queda,m23,boko haram.
Wakifikia hiyo stage wanapata wafadhili na kuanza kusumbua serikali..ndo vile unasikia mara wamevamia shule wamesomba wanafunzi na kuwateka,wamelipua soko nk
Na hapo unaambiwa kuna wengine hawajakamatwa wamefanikiwa kukimbilia msumbiji,so ni wengi.
Haya mambo sio ya kuchekea
Umenena sahihi kiongozi. Njiti Moja ya kiberiti inauwezo wa kuchoma msitu ma hekta na mahekta. If you allow one step why not fifty. Serikali inajua mengi sana, Kuna mengine Huwa hayasemwi maana yataleta taharuki katika Jamhuri. Kuna waliopotezwa kimya kimya, Hawa wamepelekwa mahakamani impact Yao haikuwa kubwa. Wasingefikishwa mahakamani.
 
Wewe jitoe akili kutetea hao wapuuzi..ila ukweli unaujua..hao watu ndio waliojificha msumbiji na wana undugu wakaribu na walioupande wa tz.

Hao sio wakufunga ni kuua kabisa.

#MaendeleoHayanaChama
@jiwe angavu ww ni zero brain, hivi kilichoandikwa hapo kinakuingia akilini???? Mtu hajawai hata kufika dodoma anawezaje kupindua serikali

Ni msongo wa mawazo na sonono tu hakuna lingine

Watu wa aina hiyo wapo wengi ,wanasumbuliwa na afya ya akili kama wewe
 
Acha Matusi zidi ya Imani za wengine .kumbuka hakuna uhusiano wowote Kati ya Ugaidi na Uislam ni Watu Wachache tu watumia Mlango wa Dini kutaka kukidhi hitaji la Kisiasa Mkumbuke Joseph koni wa Lord Resistance Army Uganda na Ant Baraka ya Central Africa Walitumia Ukristo kufanya Siasa na kuunda Waasi.
Tafadhari usigombane na ndugu zako jamaa zako kwa huo Mtazamo hasi juu ya Imani ya Kiislam ni Imani Safi ambayo haina hayo unavyofikiri.
Ant baraka walichoka na upuuzi wa wavaakobazi..ndio wakaamua waunde kikundi chao walikiamsha hatari hadi wavaakobazi wakapoteana.

Hawa washenzi ukiwaendekeza mwisho wasiku ni kuvuna mabua tu.

Gaidi au dalili yote ya ugaidi inabidi idhibitiwe kwa pigo kali zaidi.

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom