K11
JF-Expert Member
- Oct 15, 2014
- 3,447
- 11,274
Hao jamaa wana bahati hadi sasa kuwa hai kama makosa waliyotuhumiwa kwayo ni ya kweli.
Kuna matukio yaliwakuta raia wema ya ukatili mbaya toka kwa watu wa mlengo huo mkoa wa Mtwara, Lindi na baadhi ya maeneo ya Pwani, hivyo wanasema ukiua kwa upanga na wewe utauawa kwa upanga.