Songea: Sita jela miaka 50 kwa kutaka kuipindua Serikali ya Tanzania ili kuanzisha Taifa la Kiislamu

Songea: Sita jela miaka 50 kwa kutaka kuipindua Serikali ya Tanzania ili kuanzisha Taifa la Kiislamu

Ijumaa, 25 Novemba 2022​

JAJI KIONGOZI AWATAKA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI KUHAKIKI TAARIFA ZA MAHAKAMA​

· Azitaka Ofisi ya Taifa ya Mashtaka na Mahakama kuwasiliana
Na Lydia Churi-Tume ya Utumishi wa Mahakama, Simiyu


Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania na Kamishna wa Tume ya Utumishi wa Mahakama Mhe. Mustapher Siyani ametoa rai kwa wahariri wa vyombo vya habari nchini kuhariri na kuhakiki taarifa zinazohusu Mhimili wa Mahakama kabla hazijawafikia wananchi ili kujenga imani ya wananchi kwa Mahakama.

Akizungumza na wadau wa utoaji haki jana mkoani Simiyu, Jaji Kionggozi amesema wahariri wana nafasi kubwa ya kujenga imani ya wananchi kwa Mahakama lakini pia wanayo nafasi kubwa ya kuvunja au kubomoa imani hiyo kwa chombo chao.

“Matarajio ya Tume ya Utumishi wa Mahakama na Mahakama ya Tanzania ni kuona wahariri wanatambua kuwa wao ni wadau muhimu hivyo watambue wajibu wao wa kuhakikisha habari zinazotolewa kuhusu Mahakama zinahaririwa na kuhakikiwa vizuri na habari hizo ni za kweli na siyo za upande moja”, alisema.

Alisema hakuna mtu au chombo chochote kile kinachoweza kuaminika kutoa haki kama pande mbili za mgogoro hazina imani na mtu au chombo hicho”, alisema Jaji Kiongozi.

Alisema habari zikiandikwa kishabiki au zikatengenezewa vichwa vya habari vyenye kusudio la kuvuta watu wazisome au kuzisikiliza kwa makusudio yoyote yale zinaweza kuupotosha Umma na kuondoa imani iliyonayo kwa Mahakama.
“Endapo wananchi watakosa Imani na Mahakama hawataitumia kutafuta haki, na Imani kwa Mahakama ndiyo msingi wa haki hivyo uwezekano wa wananchi kujichukulia sheria mkononi utakuwa ni mkubwa”, alisisitiza.

Jaji Kiongozi alisema kila Mdau wa Mahakama anao wajibu wa kuhakikisha vyombo vya Serikali ikiwemo Mahakama vinafanya kazi iliyokusudiwa. Aliongeza kuwa Tume na Mahakama pia inatarajia kuwa wahariri watashiriki katika maboresho yanayoendelea yenye lengo la kujenga na kukuza Imani ya wananchi kwa Mahakama kupitia habari zinazotolewa na vyombo vyao bila kuathiri wajibu na msingi wa kazi ya uandishi wa habari wa kuelimisha, kuhabarisha, kukosoa, kufichua na hata kuburudisha.


MwanaJF, soma hukumu nzima ya kurasa 100 upate undani wa case hii ilivyounguruma uielewe :

Court name
High Court of Tanzania
Registry
High Court Songea Registry
Case number
Economic Case 4 of 2022

Republic vs Seif Abdallah Chombo and 5 Others (Economic Case 4 of 2022) [2022] TZHC 15198 (16 December 2022);​

Media neutral citation
[2022] TZHC 1519

Soma kwa urefu kurasa zote 100 :
Source : Republic vs Seif Abdallah Chombo and 5 Others (Economic Case 4 of 2022) [2022] TZHC 15198 (16 December 2022); | Tanzlii
 
Imekaa vzr mnooo.
Yyte atakae jarbu kucheza na Tanzania tunakula kichwa tu.



Tunachokijua:
 
Fanya marekebisho ya kichwa maana mie nimestuka nilipo sikia kupindua serikali yan nikajua UHAINI kosa ambalo kila mwenyekujua sheria analiogopa maana adhabu yake imenyooka sana.

Ungeandika hata 50 kwa jela kwa ugaidi. Maana nimeshtuka. Uhaini watu wanatembea hadi na familia yako
Kweli kabisa kiongozi. Sio familia yako tu hadi ukoo wako woooote.
 
Wanadaiwa kula njama kuanzisha vita ya kidini vijulikanavyo Jihad na kuwashawishi vijana kuongeza nguvu kuipindua Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kuanzisha Taifa la Kiislamu kwa kutumia nguvu na machafuko.
Extremist militants..
 
Sasa yule kiongozi mwandamizi wa CUF si ndiyo DC huko Tunduru!!! Ikumbukwe 2010 JK aliwahi kusema akiwa hukohuko Ruvuma kuwa chama hicho ni cha kidini na lengo lake ni kuhatarisha amani ya nchi!!
Yuko salama kabisa.kuna vijana shupavu wako nae macho macho wanakula nae wanacheka nae.ndio kigezo cha kumpeleka kule ili aonyeshe kucha tu.Ajari soon
 
Mahakama kuu Songea imewahukumu miaka 50 jela watu sita, wakiwemo watatu wa familia moja baada ya kuwatia hatiani kwa makosa ya ugaidi na kupanga njama za kupindua serikali. Watu hao ni Seif Chombo na wanae wawili Abdalah Chombo na Athumani Chombo. Wengine ni Mohamed Kamala, Omary Mbonani na Rashid Ally.

Akisoma Hukumu hiyo, Jaji Yose Mlyambina, amesema washtakiwa hao walipanga njama za kuvuruga amani ya nchi na kuiangusha serikali. Kosa la kwanza wamehukumiwa miaka 20 na kosa la pili miaka 30, lakini kwa kuwa adhabu hizo zitaenda pamoja watatumikia miaka 30 kila mmoja.

#MyTake:
1. Je kula njama inaweza kuhukumiwa kwa uzito sawa na kutenda kosa? Yani mtu akila njama za kufanya ugaidi halafu hajafanya, je anaweza kuhukumiwa adhabu sawa na aliyefanya ugaidi?

2. Tunawezaje kupima njama hizo kuwa ni material? Yani watu wakizungumza kuwa wanataka kuipundua serikali, lakini hawana bunduki, mabomu, wala silaha yoyote zaidi ya visu vya kukatia maembe, je njama zao zaweza kuwa "material" mbele ya mahakama? Au walitakiwa kupuuzwa tu?

3. Maskini wa Madaba wasio hata na nauli za kufika Songea mjini wanawezaje kupanga njama za kupindua serikali? Yani Serikali inawezaje kupinduliwa kutokea Madaba? 🤣

4. Je ugaidi ni nia au ni tendo ? Maana ili jinai ikamilike lazima kuwe na nia ovu na tendo ovu (actus reus and mens rea)? Kama washtakiwa waliweka nia ya kupindua Serikali lakini hawakutekeleza nia yao, je wanahesabika magaidi?

5. Inadaiwa washtakiwa wote 6 ni ndugu. Mmoja ni baba na wanae wawili (vijana wadogo), na wengine ni jamaa zao. Je serikali inaweza kupinduliwa na kikundi cha familia moja?

NB: Hali ya maisha ni ngumu, mfumuko wa bei, umeme, huduma za afya, mzunguko mdogo wa pesa mtaani, ni baadhi ya mambo yanayowafanya wananchi kuwaza mabaya dhidi ya serikali. Je siku serikali ikijua mawazo ya wananchi wake si kila mtu atahukumiwa kwa ugaidi? 🤣

Nashauri Mhe.Rais atoe msamaha kwa hii familia. Wapewe "benefit of doubts" kwamba "waliropoka" kupindua serikali kutokana na ugumu wa maisha. Kwahiyo badala kuwahukumu, serikali iboreshe maisha yawe nafuu, ili watu wasiwaze mabaya juu ya serikali yao. The government must learn to be fire preventors NOT fire fighters.!
 
Kibiti walikuwa wanatumia nini?
Hivyo visu ni silaha walizonazo kutokana na mtaji/connection waliyonayo lkn unajuaje kama kulikuwa na mpango wa kupata silaha kubwa zaidi?
mbona hawajakamatwa wengine? Unadhani hiyo adhabu waliyopewa huko ndani wasingewataja wenzao?
 
Mnatuvuruga sasa jama. Kule juu mwenzio kasema miaka 50 wewe unasema 30
Kosa la kwanza ni miaka 20 kosa la pili ni miaka 30.
Ukisikia Hakimu anasema makosa yote mawili yanaenda kwa pamoja ujue watatumikia Jela kwa miaka 30. Yaani hiyo ishirini itachanganya makosa yote mawili kwa pamoja halafu watamalizia miaka kumi.
Ukisikia kila kosa litajitegemea ndio watatumikia miaka 50 kila mmoja.
 
Hii dini ya kishenzi ifutwe tu ,halafu huyo mungu wao Allah atakuwa anamatatizo ya akili.
Ndugu kinywa chako kisikufanye ukajisahau kuwa wewe ni baba wa watoto na unategemewa hivyo chunga sana Uslamu ni dini ya haki
 
Sasa nani hakujui Tunduruuuu?? Kwa taarifa yako naijua Tunduru kuliko wee, hapo Waislamu nimeishi nao kwa 11yrs,

Mkoa wa Ruvuma ni kwetu, wayao nawajua vyedi hadi lugha yao naijua haswaaa, nitoleee upuuzi wako hapaaa.

Mxxxcieeeeew
Ndio maana nikakuambia upo period kuna mahala nimekuambia huku sio kwenu au hauwajui wayao? Mimi naishi huku na vijana wenye misimamo mikali walio tayari kwa lolote ilimradi bendera ya Allah isimame tunawajua na hao waliokamatwa hawajaonewa
 
Back
Top Bottom