Songea: Sita jela miaka 50 kwa kutaka kuipindua Serikali ya Tanzania ili kuanzisha Taifa la Kiislamu

Songea: Sita jela miaka 50 kwa kutaka kuipindua Serikali ya Tanzania ili kuanzisha Taifa la Kiislamu

Je kikwete alivyoua watu kwenye operesheni tokomeza ni muislamu gani aliguswa? Mtoto wa kiume anaambiwa amuingilie mama yake mzazi mbele ya askari
Mbona hayo Watanganyika wanayafanya huku Zanzibar kila uchaguzi ukifika
 
Hivi Nyerere alivyouwa watu Zanzibar kwa maelfu , ni nani mkristo aliyeguswa?
Acheni Ugaidi wa kutaka muishi peke yenu hapa duniani.
Mungu angetaka angeumba Waislamu tu basi.
Dini nyingine zote zimetulia ni nyinyi tu mnaojiona bora kupita wengine.
Na kuwafanyia fujo ili mtawale dunia.
Kwa taarifa yenu mtahangaika tu basi.
Dola ya Kiislamu kamwe haita kuwepo.
Itaishia huko huko Afghanista.
Mna vurugu sana yaani.
 
ila makafir mna hila ?

wakati hayo yote yanafanyika ilikua kimya kimya hakuna hata chombo cha habari kimoja kllichowahi kuripoti matukio hayo ?

mbona mimi ndio najua sasa hv sikuwahi kusikia fununu popote ?[emoji848]
Ulitaka kila jambo uletewe habari hapo kwenye kijiwe chako cha kahawa?

#MaendeleoHayanaChama
 
Mbona hujajibu Swali unarukia Seif Sharifu? Mwinyi alizaliwa wapi?
Ninyi ni raisi wenu munamjua vizuri kuliko sisi wabara ndio maana munampenda sana na munamkaribisha misikitini mwenu kila siku
 
Acheni Ugaidi wa kutaka muishi peke yenu hapa duniani.
Mungu angetaka angeumba Waislamu tu basi.
Dini nyingine zote zimetulia ni nyinyi tu mnaojiona bora kupita wengine.
Na kuwafanyia fujo ili mtawale dunia.
Kwa taarifa yenu mtahangaika tu basi.
Dola ya Kiislamu kamwe haita kuwepo.
Itaishia huko huko Afghanista.
Mna vurugu sana yaani.

Wacheni propaganda Za kipumbavu kukimbia katiba mpya .Mhaini hafungwi miaka 6
 
Back
Top Bottom