Songea: Sita jela miaka 50 kwa kutaka kuipindua Serikali ya Tanzania ili kuanzisha Taifa la Kiislamu

Songea: Sita jela miaka 50 kwa kutaka kuipindua Serikali ya Tanzania ili kuanzisha Taifa la Kiislamu

Unakubali kumuabudu
mungu aliyeshikwa kichakani na kijana wa kiume akiwa uchi, huku amemkumbatia?

And there followed him a certain young man, having a linen cloth cast about his naked body; and the young men laid hold on him: and he left the linen cloth, and fled from them naked.
— Mark 14:51,52
Mungu hashikwi bibie,Mungu ni roho
 
FB_IMG_16533992434679217.jpg
 
Jibu hapa kwanza , Mimi nilitangulia kukuuliza

kwa hivyo maandiko yanasema Yesu ni nani ?
Jibu hapa kwanza , Mimi nilitangulia kukuuliza

kwa hivyo maandiko yanasema Yesu ni nani ?
Jibu hapa kwanza , Mimi nilitangulia kukuuliza

kwa hivyo maandiko yanasema Yesu ni nani ?
Mimi ndie nilianza kukuuliza kuwa je mwinyi ni raisi wa nani kati yangu mimi na wewe?
 
unapanga kupindua bila ya jeshi? Ajabu ilioje.

Siyo kama hawana makosa, lakini hiyo tena kidogo chumvi imezidi
Fanya hivi utakuja kunishukuru baadae.
Hapo nyumbani kwako, tafuta vijana kama 5 tu. Waambie unataka kupindua nchi, wape hela halafu fanya vikao 3 vinavyohusu kupindua nchi. Mdokeze jirani mbea mbea hivi akawambie polisi unafanya kikao cha kupindua nchi.
Kama haujafungwa mpaka uchakae na ndugu zako watakusahau. Fanya hivyo halafu ulete mrejesho si unasema mpaka jeshi.
Kitendo cha kukaa kikao na kupanga machafuko au kuanzisha jambo lolote ambalo litaleta uvunjifu wa amani ni kosa kishera na lazima uwajibishe.
 
Back
Top Bottom