Haitakaa itokee . Kutokana na sheria za Tanroad.vp busi lina maliwato ndani kupunguza usumbufu wa kuchimba dawa?
Hiz sheria za kiduanzi kwelHaitakaa itokee . Kutokana na sheria za Tanroad.
Mabasi ya maliwato ndani huwa yanakuwa marefu by default, sheria za tan road haziruhusu urefu huo , faini ukikutwa na urefu huo bila kibali ni dola 2000,
Ndo maana hata hizo marcopolo za superfeo ni special order za urefu mfupi (reduced leg room) ukitembea nchi kama Zambia, Zimbabwe ,Botswana etc utaona original version( lenght )ya basi hizo na zinapendeza haswa
Huwezi weka basi zuri kwenye barabara mbaya"Hakuna route yenye mabasi mabaya nchi hii Kama route ya Tanga Dodoma. Wafanyabiashara hawaoni hiyo fursa. Watu wanalazimika kupitia Arusha Kisha Dom kwa siku mbili kukwepa tu mabasi mabovu ya njia hiyo.
Umeonaeeee, hali za watu zinatofautiana, haswa inapokuja swala la safari, kunywa maji/soda unakuwa wasiwasi tuombe mamlaka husika zikubali mabasi ya mikoani (natambua yapo baadhi yenye maliwato ndani), kurejea kipengele/sheria hiki na kukilegezaaa π€£ πΏ πΏHiz sheria za kiduanzi kwel
Zikibadirishwa wenda tukaanza kuziona na double decker zikiingia nchiniUmeonaeeee, hali za watu zinatofautiana, haswa inapokuja swala la safari, kunywa maji/soda unakuwa wasiwasi tuombe mamlaka husika zikubali mabasi ya mikoani (natambua yapo baadhi yenye maliwato ndani), kurejea kipengele/sheria hiki na kukilegezaaa π€£ πΏ πΏ
Mie siyo mnyasa bana[emoji23]Ww mnyasa nin [emoji23][emoji23]
Hizo cctv camera utaweza kuweka nchi nzima?,Hao Askari wa usalama hawawezi kutosheleza,lk. Pia hawawezi kuwepo barabarani muda wote.Solution ni kuwepo askari wa usalama barabarani au cctv, matuta ni hasara
New force , golden deer ni agent wa zhongtong busesHebu nielezee hili..
Mbona Dar - Mbeya/Songwe
New Force (mchina) anashindana na SAULI (BENZI)...?
#YNWA
Zipo marcopolo ambazo mchina hasogezi pua lakini siyo hizo za arusha exp!Kuna kampuni flani inaitwa Arusha Express ina bus la Scania Marcopollo (Paradiso) linatoka Arusha to Dodoma litafute uingie ndani alafu shuka panda mchina iliyotoka mwaka jana (hiyo Marcopollo imepiga kazi almost 20yrs) then njoo hapa u_reply.
Kuna sehem nmeona makita sec kama ckoseiMie siyo mnyasa bana[emoji23]
Mie mzaliwa wa mbinga,hospital ya mbuyula,nimesoma kiwanjani
Unataka raia wafie njiani kwa uchovu..
#YNWA
Ndiyo shule ya msingi kiwanjaniKuna sehem nmeona makita sec kama ckosei
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] em njo pmNdiyo shule ya msingi kiwanjani
Sec makita
Nahisi kwenu ni mitaa hile kwa mwalimu ndahile
Unapsema kusini mbona main route ya dar - mtwara hajaigusaNaona superfeo anataka kukimbiza maana Ana Songea To Mwanza na Mbeya to Mwanza anaitafuta kanda ya ziwa taratibu baada ya kumaliza kusini
zimetungwa na waduanzi pro max ππHiz sheria za kiduanzi kwel
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]usicheke[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] em njo pm
Hawajui kuwa dunia kila siku inabadirika na wao wabadirikezimetungwa na waduanzi pro max ππ
[emoji28][emoji28] Kuna uwezekano nakujua vizuri ila tuendelee kulinda faraghaKum be[emoji16],,,,mie kiwanjani na makita
Nyumbani huruma Airport kule now kuna majumba,msitu upo pale shuleni kwenu tu[emoji16]
[emoji23][emoji23]umeona eeeh ka mbinga kadogooo[emoji23]sahizi ni kubwaaa,hule msitu tu wa shule yenu hawaukati[emoji23][emoji28][emoji28] Kuna uwezekano nakujua vizuri ila tuendelee kulinda faragha