t blj
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 7,035
- 16,705
Haitakaa itokee . Kutokana na sheria za Tanroad.vp busi lina maliwato ndani kupunguza usumbufu wa kuchimba dawa?
Mabasi ya maliwato ndani huwa yanakuwa marefu by default, sheria za tan road haziruhusu urefu huo , faini ukikutwa na urefu huo bila kibali ni dola 2000,
Ndo maana hata hizo marcopolo za superfeo ni special order za urefu mfupi (reduced leg room) ukitembea nchi kama Zambia, Zimbabwe ,Botswana etc utaona original version( lenght )ya basi hizo na zinapendeza haswa