Songea to Mwanza: Mwamba katoa chuma na kaanzisha hii route

Songea to Mwanza: Mwamba katoa chuma na kaanzisha hii route

vp busi lina maliwato ndani kupunguza usumbufu wa kuchimba dawa?
Haitakaa itokee . Kutokana na sheria za Tanroad.
Mabasi ya maliwato ndani huwa yanakuwa marefu by default, sheria za tan road haziruhusu urefu huo , faini ukikutwa na urefu huo bila kibali ni dola 2000,
Ndo maana hata hizo marcopolo za superfeo ni special order za urefu mfupi (reduced leg room) ukitembea nchi kama Zambia, Zimbabwe ,Botswana etc utaona original version( lenght )ya basi hizo na zinapendeza haswa
 
Haitakaa itokee . Kutokana na sheria za Tanroad.
Mabasi ya maliwato ndani huwa yanakuwa marefu by default, sheria za tan road haziruhusu urefu huo , faini ukikutwa na urefu huo bila kibali ni dola 2000,
Ndo maana hata hizo marcopolo za superfeo ni special order za urefu mfupi (reduced leg room) ukitembea nchi kama Zambia, Zimbabwe ,Botswana etc utaona original version( lenght )ya basi hizo na zinapendeza haswa
Hiz sheria za kiduanzi kwel
 
Hakuna route yenye mabasi mabaya nchi hii Kama route ya Tanga Dodoma. Wafanyabiashara hawaoni hiyo fursa. Watu wanalazimika kupitia Arusha Kisha Dom kwa siku mbili kukwepa tu mabasi mabovu ya njia hiyo.
Huwezi weka basi zuri kwenye barabara mbaya"

Halafuu... we umekaa kishabiki shabiki tuu bila hata kufikiria unaandika tu.

Unatokaje tanga upitie moshi, arusha, manyara, kondoa ili ufike dodoma !!!?

Wenzio wakitaka mabasi mazuri yanayopita kwenye lami. Wanafanya hivi...

Unatoka tanga chalinze, moro halafu dodoma.

Njia ya kati ni shortcut lakini rough road.
 
Umeonaeeee, hali za watu zinatofautiana, haswa inapokuja swala la safari, kunywa maji/soda unakuwa wasiwasi tuombe mamlaka husika zikubali mabasi ya mikoani (natambua yapo baadhi yenye maliwato ndani), kurejea kipengele/sheria hiki na kukilegezaaa 🤣 🍿 🍿
Zikibadirishwa wenda tukaanza kuziona na double decker zikiingia nchini
 
Kuna kampuni flani inaitwa Arusha Express ina bus la Scania Marcopollo (Paradiso) linatoka Arusha to Dodoma litafute uingie ndani alafu shuka panda mchina iliyotoka mwaka jana (hiyo Marcopollo imepiga kazi almost 20yrs) then njoo hapa u_reply.
Zipo marcopolo ambazo mchina hasogezi pua lakini siyo hizo za arusha exp!

Hizo mkuu kazipambanishe na akina najimunisa, super champion na wengine wa kabila hiyo!



Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
 
Hongera kwa kwake


Na tuendelee kumshukuru Mungu kwaajili ya uhai wa John Pombe Joseph Magufuli kwa taifa letu

Tuliowahi kusafiri Dar Songea zamani, Songea Masasi na Dar Mwanza kupitia Nairobi tunajua Shujaa metuachia miundombinu ya kututosha na katurahisishia maisha mnoooo

Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan na wasaidizi wake wote

Aendelee kupumzika kwa amani kipenzi chetu JPM😍🇹🇿🙏
 
Naona superfeo anataka kukimbiza maana Ana Songea To Mwanza na Mbeya to Mwanza anaitafuta kanda ya ziwa taratibu baada ya kumaliza kusini
Unapsema kusini mbona main route ya dar - mtwara hajaigusa
 
Kum be[emoji16],,,,mie kiwanjani na makita

Nyumbani huruma Airport kule now kuna majumba,msitu upo pale shuleni kwenu tu[emoji16]
[emoji28][emoji28] Kuna uwezekano nakujua vizuri ila tuendelee kulinda faragha
 
Back
Top Bottom