KUTATABHETAKULE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 5,159
- 5,070
Nilitoa maoni yangu kuhusu hiyo hoja. Nasikitishwa na maneno pia matusi uliyonitukana. Kama nilivyo lofà sina cha kukulipa kwa hayo. Asante.Lofa ULIETUKUKA WEWE, kwahiyo nchi nzima hii mikutano ya dini wewe unaiona ikiwa SONGEA pekee? Pumbavu wahed!
Sio mimi msikilize mtume wenu hapoWatu hawafati upako wa kuwa matajiri,watu wanataka kuponwa na magonjwa na kutoka kwenye kifungo,ww ni mpagani?
Wivu wa kike huo..get a job.Maigizo tu hapo na umbumbumbu. Nikija kwako nikakuta umeweka chaneli inamuonyesha huyu single boy msela, mjasiriamali wa mbeya naondoka!
We ushapakwq mafuta, endelea na imani zako za kikuda! Endelea kukaza shingo.Wivu wa kike huo..get a job.
#MaendeleoHayanaChama
Chawa rasmi wa mwamposa JfSiku 3 za nabii mwamposa songea mjini, leo uwanja wa shule ya msingi matarawe umejaa kupita kiasi katika ujio wa baba mwamposa, tunaanza kumuelewa huyu mtumishi wa mungu.
Karibu sana Dodoma ukanyage mafuta na kula keki ya Upako.We ushapakwq mafuta, endelea na imani zako za kikuda! Endelea kukaza shingo.
AiseeSiku 3 za nabii mwamposa songea mjini, leo uwanja wa shule ya msingi matarawe umejaa kupita kiasi katika ujio wa baba mwamposa, tunaanza kumuelewa huyu mtumishi wa mungu.
Tupo pamoja mkuu.Nchi ya uzuzu katika ubora wake, manabii wa uongo nao wameshajua watanzania ni mazuzu, mizimu yangu ni imani yangu bora
Kwahiyo huyo mwamposa mtumishi wa 'mungu' ndo anakufundisha kuita watu mbwa na ngiri?Go go go mtumish wa MUNGU mpk mafuga majini ya masjid na mapagan ya humu watokwe povu humu kama lote. Na wale wafata vidhehebu wanaokalilishwa hakuna mitume na manabii huku wanapngana na biblia inayosema wapo hzo ni karama kama ualimu, kunena kwa lugha, uchungaji nk. Mafuta na maji hata jiwe hata kikombe hata ardhi vina nafsi ulimwengu wa roho ukiwa na iman ukivitamkia ktu vitafanya na itakuwa liwe jema au baya ajabu machawi na maganga yanajua siri hz na yanaztumia kutesa watu ardhi ya shamba lako inatamkiwa kutokuzaa na kamwe hata upande nn huvuni. Adam mwnyw hakulaaniwa yeye ila ardhi tu ilitamkiwa na MUNGU KHS ADAM NAYO IKASKIA. Mbwa mlioko humu toen povu sasa wengne machawi mnaona MUNGU ANAMTUMIA mwamposa anaharibu michoro yenu. MNAUMIA NGIRI NYIE.
huo unabii sijui anawapa Nani?.
Utasikia nabii,Mara mtume yaani mwamposa anakaa daraja Moja na yesu na muhammad?
Acheni mzaha
Nimeiokota sahemu