Songea: Umati mkubwa sana (haujawahi tokea) katika mkutano wa MWAMPOSA , huyu ni nabii haswa

Songea: Umati mkubwa sana (haujawahi tokea) katika mkutano wa MWAMPOSA , huyu ni nabii haswa

Lofa ULIETUKUKA WEWE, kwahiyo nchi nzima hii mikutano ya dini wewe unaiona ikiwa SONGEA pekee? Pumbavu wahed!
Nilitoa maoni yangu kuhusu hiyo hoja. Nasikitishwa na maneno pia matusi uliyonitukana. Kama nilivyo lofà sina cha kukulipa kwa hayo. Asante.
 
Wiki hii alhamisi yuko Dodoma..watu wa DOM kaeni mkao wakula.

#MaendeleoHayanaChama
 
Maigizo tu hapo na umbumbumbu. Nikija kwako nikakuta umeweka chaneli inamuonyesha huyu single boy msela, mjasiriamali wa mbeya naondoka!
 
Sio ujinga.
Ni vile Kila mtu ana maamuzi yake, inawezekana ww ukawa unapenda kwenda kwa mganga, au kwenda kutambika mizimu, au kwenda kwa shekhe, je huo ni ujinga?
 
Maigizo tu hapo na umbumbumbu. Nikija kwako nikakuta umeweka chaneli inamuonyesha huyu single boy msela, mjasiriamali wa mbeya naondoka!
Wivu wa kike huo..get a job.

#MaendeleoHayanaChama
 
Na Lowasa Yale mafuriko yake alikuwa anauelekea unabii. Endeleeni kutafuta muujiza hivyohivyo
 
Go go go mtumish wa MUNGU mpk mafuga majini ya masjid na mapagan ya humu watokwe povu humu kama lote. Na wale wafata vidhehebu wanaokalilishwa hakuna mitume na manabii huku wanapngana na biblia inayosema wapo hzo ni karama kama ualimu, kunena kwa lugha, uchungaji nk. Mafuta na maji hata jiwe hata kikombe hata ardhi vina nafsi ulimwengu wa roho ukiwa na iman ukivitamkia ktu vitafanya na itakuwa liwe jema au baya ajabu machawi na maganga yanajua siri hz na yanaztumia kutesa watu ardhi ya shamba lako inatamkiwa kutokuzaa na kamwe hata upande nn huvuni. Adam mwnyw hakulaaniwa yeye ila ardhi tu ilitamkiwa na MUNGU KHS ADAM NAYO IKASKIA. Mbwa mlioko humu toen povu sasa wengne machawi mnaona MUNGU ANAMTUMIA mwamposa anaharibu michoro yenu. MNAUMIA NGIRI NYIE.
Kwahiyo huyo mwamposa mtumishi wa 'mungu' ndo anakufundisha kuita watu mbwa na ngiri?

Hizi dini za ajabu bora niendelee kuitwa mpagani tu.
 
Back
Top Bottom