Songea: Umati mkubwa sana (haujawahi tokea) katika mkutano wa MWAMPOSA , huyu ni nabii haswa

Songea: Umati mkubwa sana (haujawahi tokea) katika mkutano wa MWAMPOSA , huyu ni nabii haswa

Siku 3 za nabii mwamposa songea mjini, leo uwanja wa shule ya msingi matarawe umejaa kupita kiasi katika ujio wa baba mwamposa, tunaanza kumuelewa huyu mtumishi wa mungu.
Hii inakupa to what extent/degree Tanzanians have mental health problems.........................matatizo ya afya ya akili! wengi ni vichaa.
 
Hii inakupa to what extent/degree Tanzanians have mental health problems.........................matatizo ya afya ya akili! wengi ni vichaa.
Sio lazma uamini ww, akiamn mkeo inatosha
 
Lofa wewe, kwahiyo nchi nzima matamasha na seminar hazifanyiki isipokuwa huko Songea?
Unaongea ukiwa umegida komoni au muyakaya?
Wakina MWAKASEGE, GWAJIMA, NA WENGINEO WANAZUNGUKA NCHI NZIMA HUWAONI UMEMUONA MWAMPOSA SONGEA TH?
HUYU MWAMPOSA ANAZUNGUKIA MIKOA MINGAPI?
LOFA ULIETUKUKA WEWE
Lofa mwenyewe na upumbavu wenu,Tz nzina inatambua hilo kuwa mpo wapumbavu msiojitambua,

Mkoa wa ruvuma ni wapumbavu mtaishia hivyohivyo,

Wasanii nk washajua mkoa wa kupiga pesa ni Ruvuma,maana ni wajingaaaaa,
 
Si ndo kwenu uko
Huku baba yangu alikujaga enzi hizo kutumia fursa maana huku ni wajinga haswaaa,

Huku hata makanisani kwao wanapewa bahasha sadaka kuanzia 5000 ukitoa chini ya hiyo hawapokei,

Hapa mwezi wa 12 wanashindana kutoa pesa kila jumuiya wanampa askofu,
 
Naishi huku na nimezaliwa ktk huu mkoa,niseme tu ukweli wazawa wa huku wakuitwa wangoni/wamatengo ni washamba sana,Malimbukeni hasa msimu huu wa kuuza mazao vipesa. vinawachanganyaga,

MTU anaenda dukani kwa mchaga anamwambia naomba hiyo suruali ya elfu sabini[emoji16],wakati inauzwa elfu kumi.

Big up kwa wanyasa hawa ni wasomi,
 
Attachments

  • 20221014_175248.jpg
    20221014_175248.jpg
    523.6 KB · Views: 7
KWA SASA MITUME NA MANABII WANATUKUZWA SANA KULIKO YESU KRISTO & MWENYEZI MUNGU.
NA BADO WANAJIONA WATAKATIFU
 
Tanzania ni rahisi sana kuwa billionaire alisema yule Benjamin Fernandez alihojiwa kwa nn ameacha kazi kwa Bill Gate akajibu hvyo
 
Hivi kweli umati wote wanaenda kusikiliza hekaya za ugomvi wake na mapaka na watu kukojoa misumari na kunya maembe?
 
Lofa mwenyewe na upumbavu wenu,Tz nzina inatambua hilo kuwa mpo wapumbavu msiojitambua,

Mkoa wa ruvuma ni wapumbavu mtaishia hivyohivyo,

Wasanii nk washajua mkoa wa kupiga pesa ni Ruvuma,maana ni wajingaaaaa,
Na kweli, walofa malofa yamelundikana huko
 
Siku 3 za nabii mwamposa songea mjini, leo uwanja wa shule ya msingi matarawe umejaa kupita kiasi katika ujio wa baba mwamposa, tunaanza kumuelewa huyu mtumishi wa mungu.
Unajaribu kufanya Kampeni za kuhamasisha biashara za matapeli wanaotumia dini kulaghai watu?....ndio maana Africa itabaki Maskini daima..The problem that requires Technology cannot be solved with Prayers and Miracles..Amka wewe mwafrika acha uzuzu.
 
Back
Top Bottom