Hii inakupa to what extent/degree Tanzanians have mental health problems.........................matatizo ya afya ya akili! wengi ni vichaa.Siku 3 za nabii mwamposa songea mjini, leo uwanja wa shule ya msingi matarawe umejaa kupita kiasi katika ujio wa baba mwamposa, tunaanza kumuelewa huyu mtumishi wa mungu.