Avriel
JF-Expert Member
- Jun 25, 2017
- 4,950
- 5,378
Unataka akualike mkahesabu wote?Sadaka anazokusanya anazipeleka wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka akualike mkahesabu wote?Sadaka anazokusanya anazipeleka wapi?
Lofa ULIETUKUKA WEWE, kwahiyo nchi nzima hii mikutano ya dini wewe unaiona ikiwa SONGEA pekee? Pumbavu wahed!Ila Songea wanapenda Sana mambo ya waganga. Akitokea mganga mmoja ambaye anasifika kwa kutibu marafhi yote basi huyo atapokewa na mamia ya watu. Sishangai na hayo mapokezi ya huyo Mtume. Imeandikwa watatokea wengi sana nyakati hizi na kutenda miujiza yao, si kwa ajili ya Mungu bali kwa kuwahadaa na kuwachanganya na mizimu ya mababu zao.
Sasa unataka amsifie Nani Kama sio mumewe?Mke wa mwaposa kwa kumtetea mmeo hujambo inavyoonesha anakusquisssss sana unafika vizuri kule uendako
Si ndo kwenu ukoBest yangu katoka mbinga jana kuelekea songea,kumuacha mume na watoto 3 binti wa kazi ana pray party[emoji16]
Kaniambia anaenda kukanyaga mafuta,itakuwa bado hajakanyaga maana bado hajarudi[emoji16]
Mafuta ni hatare wachawi na washirikina wanapata tabu sanaSiku 3 za nabii mwamposa songea mjini, leo uwanja wa shule ya msingi matarawe umejaa kupita kiasi katika ujio wa baba mwamposa, tunaanza kumuelewa huyu mtumishi wa mungu.
We mzee wewee!!!Yesu hakuwa nabii ni Mungu usimshushe Yesu daraja
Nchi hii Imani za kiganga zipo karibia mikoa yote ujue.... Unapajua usukumani wewe?Hujanielewa mkuu Mimi siungi mkono waganga. But nimeeleza facts ya kwamba watu wa Songea wanapenda sana kuamini waganga nimeishi huko nafahamu
Usukumani sipajui!?Nchi hii Imani za kiganga zipo karibia mikoa yote ujue.... Unapajua usukumani wewe?
Mbona kama rangi zimejirudia?
Muujiza wa bulldozer huoMbona kama rangi zimejirudia?
Kwan umeambiwa anaombea kupata magar tu? UnazinguaMi nikitaka gari naombewa gari kwa maombi
Mchungaji akitaga gari tunamchangia hela !!
Mimi ni nani nisiye stuka!??
Nabii wa ukweli ni nan,?Tapeli huyo na nabii wa uongo, acha awaibie nyie wavivu wa kufikiri.
Siku za mwisho, wacha wamrudie BwanaSiku 3 za nabii mwamposa songea mjini, leo uwanja wa shule ya msingi matarawe umejaa kupita kiasi katika ujio wa baba mwamposa, tunaanza kumuelewa huyu mtumishi wa mungu.
Usinge commet kwenye huu uzi, ningekupa BAN ya nguvu...Best yangu katoka mbinga jana kuelekea songea,kumuacha mume na watoto 3 binti wa kazi ana pray party[emoji16]
Kaniambia anaenda kukanyaga mafuta,itakuwa bado hajakanyaga maana bado hajarudi[emoji16]
Hata ww utamuelewa tu,niswala la muda tu.Mmeanza kumuelewa wewe na nani??