Songea: Umati mkubwa sana (haujawahi tokea) katika mkutano wa MWAMPOSA , huyu ni nabii haswa

Songea: Umati mkubwa sana (haujawahi tokea) katika mkutano wa MWAMPOSA , huyu ni nabii haswa

Ila Songea wanapenda Sana mambo ya waganga. Akitokea mganga mmoja ambaye anasifika kwa kutibu marafhi yote basi huyo atapokewa na mamia ya watu. Sishangai na hayo mapokezi ya huyo Mtume. Imeandikwa watatokea wengi sana nyakati hizi na kutenda miujiza yao, si kwa ajili ya Mungu bali kwa kuwahadaa na kuwachanganya na mizimu ya mababu zao.
Lofa ULIETUKUKA WEWE, kwahiyo nchi nzima hii mikutano ya dini wewe unaiona ikiwa SONGEA pekee? Pumbavu wahed!
 
Best yangu katoka mbinga jana kuelekea songea,kumuacha mume na watoto 3 binti wa kazi ana pray party[emoji16]

Kaniambia anaenda kukanyaga mafuta,itakuwa bado hajakanyaga maana bado hajarudi[emoji16]
Si ndo kwenu uko
 
Best yangu katoka mbinga jana kuelekea songea,kumuacha mume na watoto 3 binti wa kazi ana pray party[emoji16]

Kaniambia anaenda kukanyaga mafuta,itakuwa bado hajakanyaga maana bado hajarudi[emoji16]
Usinge commet kwenye huu uzi, ningekupa BAN ya nguvu...
 
Back
Top Bottom