Ndyoo yupoo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwamposa nasikia yupo songea.
Upo hapo msamala??Ndyoo yupoo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Best yangu katoka mbinga jana kuelekea songea,kumuacha mume na watoto 3 binti wa kazi ana pray party[emoji16]
Kaniambia anaenda kukanyaga mafuta,itakuwa bado hajakanyaga maana bado hajarudi[emoji16]
Ndyoo nipo, leo nimezurura had Peruuu mbna.Upo hapo msamala??
Hii ya mwaka jana,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee[emoji23]Ndyoo nipo, leo nimezurura had Peruuu mbna.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
BuldozerMtu mwenye akili timamu awezi kuacha kazi akasikilize zile Ngonjera niamini mimi.
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Mambo mengine siotu yanasikitisha bali nikumkosea na kumdhihaki Mungu.huo unabii sijui anawapa Nani?.
Utasikia nabii,Mara mtume yaani mwamposa anakaa daraja Moja na yesu na muhammad?
Acheni mzaha