Songea: Umati mkubwa sana (haujawahi tokea) katika mkutano wa MWAMPOSA , huyu ni nabii haswa

Songea: Umati mkubwa sana (haujawahi tokea) katika mkutano wa MWAMPOSA , huyu ni nabii haswa

Best yangu katoka mbinga jana kuelekea songea,kumuacha mume na watoto 3 binti wa kazi ana pray party[emoji16]

Kaniambia anaenda kukanyaga mafuta,itakuwa bado hajakanyaga maana bado hajarudi[emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
kuna mja alisema dini na maendeleo vina uhusiano unaopingana yani kimoja kikiongezeka basi kingine kinapungua. sasa sijui ni kweli au?
 
Hakuna cha kushangaza hapo. Songea wengi huamini mambo ya uganga uganga na miujiza kwa sana. Akija mjanja kama huyo hakosi wafuasi huko.
 
Hii inajihidhirisha wajinga ni wako wengi sana

Ova
 
Back
Top Bottom