Songea: Wanafunzi waliopatiwa dawa za meno za msaada watakiwa kurudisha mara moja

Zingzingzing

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2014
Posts
735
Reaction score
667
Baada ya wadau wasiofahamika bado kuwa ni kutoka taasisi ipi kugawa dawa za meno na miswaki kwa shule za.msingi Songea.

Leo imetoka taarifa kwa walimu wakuu kuwataka kuwaambia wanafunz hao warudishe vitu hivyo mara moja.

Bado haijajulikana zaidi kwann hili limekua hivi hadi sasa.
 
Baada ya wadau wasiofahamika bado kuwa ni kutoka taasisi ipi kugawa dawa za meno na miswaki kwa shule za.msingi songea

Labda wamehisi zimetoka opposition
 
Baada ya wadau wasiofahamika bado kuwa ni kutoka taasisi ipi kugawa dawa za meno na miswaki kwa shule za.msingi songea

Leo imetoka taarifa kwa walimu wakuu kuwataka kuwaambia wanafunz hao warudishe vitu hivyo mara moja.

Bado haijajulikana zaidi kwann hili limekua hivi hadi sasa.
SOURCE YA HII TAARIFA NI NANI AU NI WEWE?
 
Hawatafanikiwa kuwafanya warejeshe.

Hivi wanajua utamu wa dawa ya meno hao,wakati tumezoea kusugua meno kwa kutumia miti pori?
 
Watanzania bado ni wapumbavu

Wanaamini vitu vya kipumbavu
 
Na mm nimesikia, inasemekana ukivitumia inapelekea kuwa gasho🔄. Sasa tujiulize hao walio gawa vitu hiyo idhini ya kuingia eneo la shule kisha kuanza utaratibu wa kuwagawia watoto wetu hizo miswaki na dawa idhini nani kawapa? Na tusiishie kuzungumzia wanafunzi tu!, Je na walimu walivipokea tena kwa furaha tele na wao wamerudisha tayari?
 
Back
Top Bottom