Zingzingzing
JF-Expert Member
- May 13, 2014
- 735
- 667
Labda wamehisi zimetoka oppositionBaada ya wadau wasiofahamika bado kuwa ni kutoka taasisi ipi kugawa dawa za meno na miswaki kwa shule za.msingi songea
Leo imetoka taarifa kwa walimu wakuu kuwataka kuwaambia wanafunz hao warudishe vitu hivyo mara moja.
Bado haijajulikana zaidi kwann hili limekua hivi hadi sasa.
SOURCE YA HII TAARIFA NI NANI AU NI WEWE?Baada ya wadau wasiofahamika bado kuwa ni kutoka taasisi ipi kugawa dawa za meno na miswaki kwa shule za.msingi songea
Leo imetoka taarifa kwa walimu wakuu kuwataka kuwaambia wanafunz hao warudishe vitu hivyo mara moja.
Bado haijajulikana zaidi kwann hili limekua hivi hadi sasa.