Songea: Waumini wachoma Kanisa kwa hasira baada ya Padre kukataa kwenda kumzika muumini

Songea: Waumini wachoma Kanisa kwa hasira baada ya Padre kukataa kwenda kumzika muumini

Bora tu maana haya makanisa kuna watu wameanza kua ni miungu watu na hapo shida itakua visenti tu
Ki ukweli kama RC, wana sheria hizo hadi unajiuliza kweli haya ni mambo ya Mungu?waislamu wana matatizo yao lakini kwenye mambo ya mtu kufa hawana masharti yoyote, wao watakuzika mengine utaenda kujuana na muumba wako huko, sio juu yao kuku hukumu!!!lakini hao wengine, mala alikuwa hashiriki jumuia, mala zaka, mala haendi kanisani!!!
 
Whip appeal, kama kuna sehemu Rc ina mizizi ya kutosha ni huko kwa wangoni!

Na kama hadi hao wameamua kuamka ni dhahiri wameshakata tamaa na kuchoka na ubabe wa mapadre na ni hatua njema.
Hata mimi nimeshangaa sana wangoni kuchukua uamzi huu..lazima huyo padre atakuwa amewakwaza sana ..na nadhan sababu si tu kwamba atakuwa amegoma kuendesha misa ya maziko vali kutakiwa na sababu zingine
 
Japo sio mleta mada!!
Roman Catholic wana utararibu flan wa kibabe kwa wasiokuwa waumini madhubuti, uumini madhubuti ni ule wa kutoa sadaka dhaka , na michango kadha wa kadha ya kikanisa , ikiwemo pia michango ya jumuiya za mitaa, sasa inapotokea muumini akashindwa kuchangia au kuhukwepa majukumu hayo kwa namna flani , adhabu ndo inakuwa hiyo , kutozikwa na misa ya padri!! Sehemu zingine ni mbaya zaidi maana padri pia anaweza kuamuru marehemu asihudumiwa na hata katekista au muumini wa kawaida .
We huku kwetu ukiwa unasali jumuiya na kuhudhiria ibada inatosha michango sio lazma na ni wakatoliki...

Hayo ya kugomewa kuzikwa na padri yanawakuta wale wasioonekana kanisani wala jumuiya kabisa miaka na miaka umekufa unataka uingizwe church ili iweje
 
Habari wakuu,,

Ishu iko ivi kuna mdada kafariki na alikua ni mkristo safi anahudhuria jumuiya fresh,, na michango mingi kamaliza sasa alipofariki kuna jamaa kwenye jumuiya yao kaenda kwa padre ambae ni mhagama na kusema kwamba yule hakua mkristo safi na wala alikua hatoi michango mtu yule ametoa taarifa mbovu kwa Padre na Padre moja kwa moja bila kuangalia ushahidi wowote akakaza kuendesha misa ya mazishi na utaratibu mwingine wa mazishi ya kikristu kwaiy wadau wamezika na wakaludi kanisani na hawajachoma kanisa bali wameziba milango ya kanisa kwa magogo.
 
They've drawn big attention. They've sent a loud and clear message to the priests who think they deserve the rights to treat church members in bulsh*t ways or in whatever way they think befit them.

And this should be considered as morning trumpet or a wakeup call to mapadre na viongozi wa dini wakusanya sadaka without thinking what Jesus would have done in such circumstance/environment.

Soreeee kwa kimalikia ambacho hakijanyooka
Kesho kutwa jumapili wanachangishwa sadaka za ukarabati wa jengo walilochoma.ujinga mtupu. hakuna utaratibu mzur kama wa Kanisa Katolik ukitaka kumtoa Padre. simpo sana.
 
Yah ni mpitimbi kwenye magrup ya wangoni ilitrend sana hii toka juzi
Nimekumbuka kawimbo fulani..wanaimba "katibu kata kumpitimbi wamnyimi bia ..genda na hella"🤣🤣
Kumbe ndio hapo mpitimbi
 
Japo sio mleta mada!!
Roman Catholic wana utararibu flan wa kibabe kwa wasiokuwa waumini madhubuti, uumini madhubuti ni ule wa kutoa sadaka dhaka , na michango kadha wa kadha ya kikanisa , ikiwemo pia michango ya jumuiya za mitaa, sasa inapotokea muumini akashindwa kuchangia au kuhukwepa majukumu hayo kwa namna flani , adhabu ndo inakuwa hiyo , kutozikwa na misa ya padri!! Sehemu zingine ni mbaya zaidi maana padri pia anaweza kuamuru marehemu asihudumiwa na hata katekista au muumini wa kawaida .
Aisee!!! Kumbe ndio hivi!
 
R.C wamekuwa waabudu hela mpaka wanaboa yaani unakuta tunachangishwa li mchango la kujenga shule ili likiisha tuchajiwe ada kubwa.Na ikiendelea hivi wahudhuriaji wa makanisa watazidi kuwa wazee na watoto
 
Habari wakuu,,
Ishu iko ivi kuna mdada kafariki na alikua ni mkristo safi anahudhuria jumuiya fresh,, na michango mingi kamaliza sasa alipofariki kuna jamaa kwenye jumuiya yao kaenda kwa padre ambae ni mhagama na kusema kwamba yule hakua mkristo safi na wala alikua hatoi michango mtu yule ametoa taarifa mbovu kwa Padre na Padre moja kwa moja bila kuangalia ushahidi wowote akakaza kuendesha misa ya mazishi na utaratibu mwingine wa mazishi ya kikristu kwaiy wadau wamezika na wakaludi kanisani na hawajachoma kanisa bali wameziba milango ya kanisa kwa magogo.
Sorry mkuu Kama hautojari weww upo hapo mpitimbi kwa Sasa?
 
Luddism&Chartism..kushindwa kumtambua adui ndo kinachotukumba sanaa sis wafrika..yawekzana ni Matchng guys wamehamishia hasira zao huko na kujifanya ni Padre kakataa kufanya ibada...kumbe ni hasira kwa serikal ya anaeupiga mwing
 
Back
Top Bottom