Songea: Waumini wachoma Kanisa kwa hasira baada ya Padre kukataa kwenda kumzika muumini

Songea: Waumini wachoma Kanisa kwa hasira baada ya Padre kukataa kwenda kumzika muumini

Hahahaha mkuu nimeishi hapo mpitimbi way back end za huyo katibu kata aliitwa KUZAMAJUA mwamba alikuwa mbabe haswaa
🤣🤣🤣🤣🤣
Asiee kumbeee..ndiyo wakaamua wamtungie kisong Cha kumnyima bia!!!😂😂
 
Zile habari tumekua tukiskia zikisema kanisa limeungua vitu vyote vimeteketea kasoro biblia na misalaba

Kwenye tukio hili hali imekuwaje?
 
Ok nilidhan upo kule nimeishi pale mkuu napafahamu Sana

Nimekaa mtaa wa madukan jiran na ghala la ushirika
Sawa sawa Mkuu ile nd mitaa yangu,,, mi nimeishi mpitimbi "B", kule makaburini kwa mbele karibu na shule ya sekondari.
 
Ushamba na ujinga na wame lijenga kwa pesa zao wenyewe
 
Dah ila sisi wakristo tuna vitu vya ajabu sana japo Padre kakosea lakini Kanisa ni nyumba ya ibada sio mali ya padre wao wangemshughulikia tu Padre kama Padre maana hapa naona michango ya kukarabati kanisa Jumapili ijayo lazima ianze.
Wapo tayari kuchanga ila ujumbe umewafikia mapadri waache ubaguzi, mtu kushindwa au kutoa sadaka ndogo si kigezo cha kudharauliwa!
 
Nimekumbuka kawimbo fulani..wanaimba "katibu kata kumpitimbi wamnyimi bia ..genda na hella"🤣🤣
Kumbe ndio hapo mpitimbi
Huo wimbo unaitwa je ? Unaweza ukanitumia ndugu yangu naupenda sana
 
Hata mimi nimeshangaa sana wangoni kuchukua uamzi huu..lazima huyo padre atakuwa amewakwaza sana ..na nadhan sababu si tu kwamba atakuwa amegoma kuendesha misa ya maziko vali kutakiwa na sababu zingine
Sababu inaweza kuwa ni hiyo tu , hakuna kingine , hii ishu inatambaa sana , Rc wamekuwa harsh sana kwa waumini wao linapotokea swala la kifo na sala za mwisho. Ni kama vile hua wanamsubiri marehemu ili wamkomoe .
Wangoni watakuwa ni whistle blowers , Ishu ya padri kukataa misa ya marehemu ni unyama uliopitiliza .
 
Hakuna faida kabisa !! Tatizo bado kuna watu wanaamini haya mambo ya dini na yamewaingia kweli kweli, Ruvuma ni sehemu waumini wa Rc wana mshikamano na juhudi za kutosha., Ndo maana padri akiwa mshenzi , kuna watu wanumia kweli kweli na ushenzi huo,
Hakuna faida yoyote kwa Padre au Shekhe kumzika marehemu.
 
Back
Top Bottom