Habari wakuu,,
Ishu iko ivi kuna mdada kafariki na alikua ni mkristo safi anahudhuria jumuiya fresh,, na michango mingi kamaliza sasa alipofariki kuna jamaa kwenye jumuiya yao kaenda kwa padre ambae ni mhagama na kusema kwamba yule hakua mkristo safi na wala alikua hatoi michango mtu yule ametoa taarifa mbovu kwa Padre na Padre moja kwa moja bila kuangalia ushahidi wowote akakaza kuendesha misa ya mazishi na utaratibu mwingine wa mazishi ya kikristu kwaiy wadau wamezika na wakaludi kanisani na hawajachoma kanisa bali wameziba milango ya kanisa kwa magogo.