Songea: Waumini wachoma Kanisa kwa hasira baada ya Padre kukataa kwenda kumzika muumini

Bora tu maana haya makanisa kuna watu wameanza kua ni miungu watu na hapo shida itakua visenti tu
Ki ukweli kama RC, wana sheria hizo hadi unajiuliza kweli haya ni mambo ya Mungu?waislamu wana matatizo yao lakini kwenye mambo ya mtu kufa hawana masharti yoyote, wao watakuzika mengine utaenda kujuana na muumba wako huko, sio juu yao kuku hukumu!!!lakini hao wengine, mala alikuwa hashiriki jumuia, mala zaka, mala haendi kanisani!!!
 
Whip appeal, kama kuna sehemu Rc ina mizizi ya kutosha ni huko kwa wangoni!

Na kama hadi hao wameamua kuamka ni dhahiri wameshakata tamaa na kuchoka na ubabe wa mapadre na ni hatua njema.
Hata mimi nimeshangaa sana wangoni kuchukua uamzi huu..lazima huyo padre atakuwa amewakwaza sana ..na nadhan sababu si tu kwamba atakuwa amegoma kuendesha misa ya maziko vali kutakiwa na sababu zingine
 
We huku kwetu ukiwa unasali jumuiya na kuhudhiria ibada inatosha michango sio lazma na ni wakatoliki...

Hayo ya kugomewa kuzikwa na padri yanawakuta wale wasioonekana kanisani wala jumuiya kabisa miaka na miaka umekufa unataka uingizwe church ili iweje
 
Habari wakuu,,

Ishu iko ivi kuna mdada kafariki na alikua ni mkristo safi anahudhuria jumuiya fresh,, na michango mingi kamaliza sasa alipofariki kuna jamaa kwenye jumuiya yao kaenda kwa padre ambae ni mhagama na kusema kwamba yule hakua mkristo safi na wala alikua hatoi michango mtu yule ametoa taarifa mbovu kwa Padre na Padre moja kwa moja bila kuangalia ushahidi wowote akakaza kuendesha misa ya mazishi na utaratibu mwingine wa mazishi ya kikristu kwaiy wadau wamezika na wakaludi kanisani na hawajachoma kanisa bali wameziba milango ya kanisa kwa magogo.
 
Kesho kutwa jumapili wanachangishwa sadaka za ukarabati wa jengo walilochoma.ujinga mtupu. hakuna utaratibu mzur kama wa Kanisa Katolik ukitaka kumtoa Padre. simpo sana.
 
Yah ni mpitimbi kwenye magrup ya wangoni ilitrend sana hii toka juzi
Nimekumbuka kawimbo fulani..wanaimba "katibu kata kumpitimbi wamnyimi bia ..genda na hella"🤣🤣
Kumbe ndio hapo mpitimbi
 
Aisee!!! Kumbe ndio hivi!
 
R.C wamekuwa waabudu hela mpaka wanaboa yaani unakuta tunachangishwa li mchango la kujenga shule ili likiisha tuchajiwe ada kubwa.Na ikiendelea hivi wahudhuriaji wa makanisa watazidi kuwa wazee na watoto
 
Sorry mkuu Kama hautojari weww upo hapo mpitimbi kwa Sasa?
 
Luddism&Chartism..kushindwa kumtambua adui ndo kinachotukumba sanaa sis wafrika..yawekzana ni Matchng guys wamehamishia hasira zao huko na kujifanya ni Padre kakataa kufanya ibada...kumbe ni hasira kwa serikal ya anaeupiga mwing
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…