Peramiho yetu
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 5,303
- 14,983
Hahahaha mkuu nimeishi hapo mpitimbi way back end za huyo katibu kata aliitwa KUZAMAJUA mwamba alikuwa mbabe haswaaNimekumbuka kawimbo fulani..wanaimba "katibu kata kumpitimbi wamnyimi bia ..genda na hella"[emoji1787][emoji1787]
Kumbe ndio hapo mpitimbi
Unataka raia zikachome moto kiota cha huyu?ππAri na nguvu hii ikitumika kuiondoa CCM madarakani tutaweza.
Sindio tunavofundiswa kwamba lazima wao washirikiBinadamu ni wajinga sana.Sasa Padre au shekhe kumzika mtu kuna faida gani?
Noma sana , itakuwa marehemu alikua hatoi sadaka,, sasa nduguzanguni waumini kama hamtoi sadaka mnataka mapadri wafe njaa?,Duh ni hatari
Ni ujinga tu, eti wanaamini marehemu ataenda mbinguni[emoji23][emoji23][emoji134]Binadamu ni wajinga sana.Sasa Padre au shekhe kumzika mtu kuna faida gani?
Bora walivyoziba kwa magogo, maana Kama wangechoma kesi yake ingekua kubwa sana na adhabu yake huwa ni kifungo Cha maisha jelaHabari wakuu,,
Ishu iko ivi kuna mdada kafariki na alikua ni mkristo safi anahudhuria jumuiya fresh,, na michango mingi kamaliza sasa alipofariki kuna jamaa kwenye jumuiya yao kaenda kwa padre ambae ni mhagama na kusema kwamba yule hakua mkristo safi na wala alikua hatoi michango mtu yule ametoa taarifa mbovu kwa Padre na Padre moja kwa moja bila kuangalia ushahidi wowote akakaza kuendesha misa ya mazishi na utaratibu mwingine wa mazishi ya kikristu kwaiy wadau wamezika na wakaludi kanisani na hawajachoma kanisa bali wameziba milango ya kanisa kwa magogo.
Sadaka zako mwenyeweMaparoko wanajiona wajukuu wa mungu, waendelee kushikishwa adabu na huku kitaa.
Mwaka jana kuna padre tulimdaka na dem wa mshikaji tukacharaza bakora na kumrekodi kwa simu yake. Na alitoa muamala wa milioni mbili kiulaini sana.
Hapana Mkuu sipo mpitimbi kwa sasaSorry mkuu Kama hautojari weww upo hapo mpitimbi kwa Sasa ?
Nd ivyo ni kesi kubwa ila vijana wa pale nawafahamu vizuri nahisi hawawezi kuchoma kanisa tena la RC na inawezekana hata fujo zile zimechangiwa sana na vijana toka sehem nyingine walioenda pale kwaajili ya mazishi ila kule mpitimbi wanaheshimu sana hili kanisa na wanakijiji wengi ni RCBora walivyoziba kwa magogo, maana Kama wangechoma kesi yake ingekua kubwa sana na adhabu yake huwa ni kifungo Cha maisha jela
Mkuu watake radhi wangoni pale kuna ishu zaidi ya uo utaratibu wa RC na sio kwamba aliefariki pale alikua haudhulii kanisan na michang alkua hatoi lahasha bali ni fitina za chini chini zilitembea na nd maana hadi wadau wamepanic kiasi ichoKama huwezi kaa Roman Catholic hama kakanyage mafuta hukoo. RC ni shina so lina misingi haswa sio kama vidhehebu bushuti. Hao wajinga wa kingoni okota moja moja funga 20 years
Ok nilidhan upo kule nimeishi pale mkuu napafahamu SanaHapana Mkuu sipo mpitimbi kwa sasa