tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Si zile za mzee wa heineken,najua hiloHivi unajuwa pesa za utapeli wa Escrow zilipitia kanisani Mkombozi bank?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si zile za mzee wa heineken,najua hiloHivi unajuwa pesa za utapeli wa Escrow zilipitia kanisani Mkombozi bank?
Hakuna Kanisa linaloitwa Mkombozi Bank.Hivi unajuwa pesa za utapeli wa Escrow zilipitia kanisani Mkombozi bank?
Hivi wewe unajuwa imani ni nini? Unaweza kuniambia kwenye kanuni ya imani kuna huo upuuzi wenu?Haulazimishwi kuwa Mkatoliki, na unaruhusiwa kuondoka muda wowote unapoona imani yako haifungamani na imani yetu.
Kwahiyo shida ni kutokuwa tayari kwako kuwajibika!!?
Ili uzikwe Kikatoliki kuna vigezo na masharti ya kuzingatia. Unaposhindwa it means haustahili.
Kama ambavyo wao hawakulazimishi kufuata sheria zao, na wewe usiwalazimishe wakuzike.
Kila mmoja ashinde mechi za
Nilishatoka kwenye huo utumwa wa dini, kwani mtu akizikwa na padri ndio anakwenda mbinguni?Kwahiyo shida ni kutokuwa tayari kwako kuwajibika!!?
Ili uzikwe Kikatoliki kuna vigezo na masharti ya kuzingatia. Unaposhindwa it means haustahili.
Kama ambavyo wao hawakulazimishi kufuata sheria zao, na wewe usiwalazimishe wakuzike.
Kila mmoja ashinde mechi zake.
Si walijenga wenyewe.Kwani alijenga Padre? Wamechoma jengo laowamekosea sana kuchoma nyumba ya ibada.
maana hiyo sio nyumba ya Padre.
Ni kosa kujichukulia sheria mkononi.
ni bora wangemtenga Padre kwa kususia kwenda kanisani badala ya kuchoma.
Kristu unamsoma kwenye Qur'anMsingi wa Ukristo ni Kristu.
Ushahidi wa mazingira unaonesha hivyo, mtu mshenzi hawezi kutetewa kihivyo na umma.Marehemu alionyesha upendo?
Nina wasiwasi hata kama kweli unajua maana ya imani.Hivi wewe unajuwa imani ni nini? Unaweza kuniambia kwenye kanuni ya imani kuna huo upuuzi wenu?
Hawa mapadre wanaozaa mitaani na kulawiti vitoto vidogo wewe ndio unaona wako sahihi kwa kila jambo?
Tunawastahi tu wasipobadirika na makofi watayakoga.
Tunaita dini kimazoea tu, Ukristo siyo dini.Nilishatoka kwenye huo utumwa wa dini, kwani mtu akizikwa na padri ndio anakwenda mbinguni?
Sijui kuhusu Quran (na sihitaji kujua). Nijuacho ni kuwa kuna Ukristu bila Biblia lakini hakuna Ukristu bila Kristu.Kristu unamsoma kwenye Qur'an
Ishu ipo hivi..Ushahidi wa mazingira unaonesha hivyo, mtu mshenzi hawezi kutetewa kihivyo na umma.
Unajuwa wewe unajichanganya mwenyewe, hapa tunakemea tabia mbaya ya hao viongozi wa kiroho kukataa kutowa huduma za kiroho then wewe unatetea halafu unanifundisha jinsi ya kukemea?Nina wasiwasi hata kama kweli unajua maana ya imani.
Waamini wanaozaa nje ya viapo vyao ni wengi tu, siyo makasisi pekee.
Ungeonekana muungwana kama ungekemea uovu wa kuzaa nje ya ndoa na vitendo vichafu kama kulawiti kwa Kanisa zima.
Acha unafiki.
Ni ujinga mtupu, hakuna sababu yoyote ya kumnyima huduma za kiroho hapo, hilo ni swala la marehemu na Mungu wake.Ishu ipo hivi..
Marehemu alizaa na mume w mtu... Lakini alikuwa anashiriki jumuiya. Wakati huo alikuwa anaishi kwake..!! Sasa kwa bahati mbaya akafariki. Ndugu wa marehemu wakajaza form za kuomba huduma ya mazishi, lakini hawakutamka juu ya yeye kuzaa na mume wa mtu. Wakapewa michango inayotakiwa kutolewa na mwisho wakapewa utaratibu wa mazishi.
Sasa ikatokea, mtu mmoja toka kwenye jumuiya yao, akaenda kwenye uongozi wa juu wa parokia na kutoa taarifa ya kwamba marehemu amezaa na mume wa mtu. Baadhi ya ndugu wakapewa taarifa hiyo na kwamba hakuna atakayetoka kanisani kwenda kuongoza ibada ya mazishi. Na fedha zikarudishwa. Bahati mbaya haya yanatokea kukiwa kumebaki muda mfupi sana muda wa mazishi ufike. Na wale ndugu waliopewa taarifa hawakulisema hilo, na wala hawakusema kwamba wamerudishowa fedha.
Wahudhuriaji wa msiba wakaamua kwenda wenyewe na walipotoka mazikoni, wakapitia parokiani na kuweka magogo mlango mkuu wa kanisa na geti la kuingilia nyumba ya padre.
Wakasema ndani asitoke mtu na atakayetoka wanamfanyia jambo baya. Kwa bahati nzuri, baada ya wao kumtafuta dereva na kumkosa, ilionekana alikuwa Songea mjini pamoja na paroko.
UZURI HAWAKUCHOMA MOTO KANISA KAMA INAVYORIPOTIWA
Unaweza ukalitazama kwa namna hiyo, lakini kanisa lina taratibu zake... Hata sisi tulio wazima tunajuwa ukifanya hivi, kinatokea kile... Umefanya na wao wakafanya then unalalamika..!!Ni ujinga mtupu, hakuna sababu yoyote ya kumnyima huduma za kiroho hapo, hilo ni swala la marehemu na Mungu wake.
Halafu makanisa ya katoliki kuna vitubio, kama huyu bibie ametubu dhambi zake na Mungu amemsamehe hawa binadamu dhaifu wao ni nani?
Tukemee kwa nguvu zote tabia hizi za kihuni.
Usicheze na imani za watu... Kama mtu anaamini akijambiwa anapata neema ya Mungu unategemea nini? Unamkumbuka Kibwetele?Ujinga ni kuamini kwamba Padre anakuongezea kitu siku ya mazishi yako... Huo ni ujinga katika kiwango chake cha juu...
Ukristo ni IMANI.Tunaita dini kimazoea tu, Ukristo siyo dini.
Nina uzoefu nao.Ivo ivo!!! Tuliwahu kujibiwa nyodo na padri mmoja tulipokwenda kuomba misa ya kumzika jirani yetu, na ni hapa hapa mjini daslam! , Hakuishia hapo alipiga marufuku yoyote kuongoza misa hiyo, akapiga marufuku hadi viongozi wa jumuiya kujishugulisha na msiba huo , yani viti meza , vyombo vya jumuia vilioigwa marufuku kutumika kwemye msiba huo kwa maelekezo kutoka kanisani , then wakawekwa mamluki msibani kuhakikisha maelekezo hayo yanatekelezwa na mtua anayeyakiuka!!
Jirani ilibidi azikwe na misa ya kilokole.
Sisi tulimsamehe yeye anaona yupo sahihi, wakati anakula kimasihara Ndugu yetu wa kike, na baada ya kuzika tuliomba misa za kumuombea marehemu kila siku asubuhi na pesa walipokea na akawa anasalisha kila tunapoenda.Yeah thats how they operate! Yani kanisa limeajiri chawa kwa ajili ya kupeleka maneno ya umbea wa waumini kwa mapadre, huku nilipo kuna jamaa alikua muumini mzuri tu na michango anatoa , ila alipata bahati mbaya ya kufiwa na mke wake , huku na kule akaamua kuvuta mke mpya wa kiislam , umbea ukafika kwa baba paroko, siku alipofariki kanisa halikujigusa
Watu mnaokemea uzinzi wa makasisi na wakati nyie wenyewe na watu wenu wa karibu ni wazinzi wa kutupwa na hamjali wala kukemeana ni wanafiki wa kiwango cha juu.Unajuwa wewe unajichanganya mwenyewe, hapa tunakemea tabia mbaya ya hao viongozi wa kiroho kukataa kutowa huduma za kiroho then wewe unatetea halafu unanifundisha jinsi ya kukemea?
Wakati Vaticano walikuwa wakiamini Juwa linaizunguka dunia, Galileo aliwapa fact Vaticano kwamba Dunia ndio inalizunguka juwa, kanisa lilimpinga na kumtenga na kuteswa sana, laakini baadaye scientifically proof ikaja kuthibitika Galileo alikuwa sahihi na alikuwa amedhafariki, kanisa alikupata nafasi ya kumuomba radhi Galileo.
Sasa na wewe acha kuwa mtumwa wa kifikra kwa vitu unaona siyo sahihi lakini bado unaunga mkono ni ujinga uliotukuka.
Mungu amempa kila binadamu akili ila kuzitumia ni utashi wako mwenyewe.