Songoro Marine waanza kuisoma namba, wanyimwa kazi ya Kivuko cha Magogoni

Sasa unafikiri Mv Mwanza ni Ptoject nyepesi mkuu!??


Shuleni ulienda kusomea UJINGA!?


Mbona hutumii akili ya kawaida mkuu
Unajua maana ya upendeleo au wewe ndiye mjinga?

Unafikiri hiyo meli imejengwa na kampuni moja tu ewe mbumbumbu.

Mkataba si ungesema tu subcontracts kwenye huo ujenzi wapewe wazawa ambao automatically ni Songoro!

BTW: Dr Mollel kasema,"Nchi hii imejaa wajinga sana".
 
Huyo mjinga Dr Mollel aliemzungumzia ni Karne
 
Hao huwa haziwatoshi na huwa hawana uzalendo zaidi ya kuangalia matumbo yao na uroho wa uongozi.
Kweli kabisa. Mchukulie Lissu kwa mfano. Ana mapenzi gani kwa nchi hii wakati watoto wake ni Wamarekani na anajivunia kwa hilo. Halafu yeye na familia yake wanaishi Ulaya. Eti huyo ndiye awatetee Watanzania wa Mazinga, Makunduchi na Nangulukuru!!
 
Mmiliki wa Songoro alitoka Mwanza, na mmiliki wa Mayanga Construction Company, ile kampuni iliyokuwa inashinda tenda bila hata kushindanishwa, walipewa tenda ya kujenga mabarabara kibao, wakajenga viwanja vya ndege pamoja na chato airport, Mayanga Construction ipo wapi sasa baada ya mmiliki wake (Jiwe) kufariki? Kweli tulikuwa tunaangamizwa.
 
Ohoooo !!!
 
Jamaa zang wazee wa legacy njoon..!!!
 
Pamoja na yote kampuni ya Songoro ina ujuzi wa miaka mingi,imejenga vivuko vingi tu kule Ziwa Victoria, hii kampuni haikuanza jana kama unavyotaka kutuaminisha na pia kunusurika kwa abilia au kupata ajali sio kigezo cha kusemakuwa mtengenezaji haweze kazi, hata Boeing au Airbus zianapata ajali sembuse kampuni ya Songoro? je ni ajali ngapi za majini zimesababishwa na vivuko vya Songoro,nia yako ya kuleta hizi pumba ni kuonyesha kwamba Songoro walikuwa wanapendelewa na umeshasahau kuwa kwenye tenda kuna kupata na kukosa, na hao Wakenya ni wala rushwa balaa, nadhani ungeshangaa bei ya matengenezo ambayo ni sawa na bei ya kununulia hicho kivuko, hilo huongelei!
 
Songoro Marine walitaka Bil 10
 
Mtoa mada acha siasa fatilia sababu ya kunyimwa.
Kanyimwa sababu alitenda 10bil, wenzake wakatenda 7.5bil
Kazi kwako kuchagua
Sio siasa huyo songoro ni sawa tu na Mayanga construction makampuni ya watoto wa Chato
 
Eti wewe ni Mwana Chadema unayefikiria siku moja chama chako eti kitawale Tanzania wakati unasifia Mtanzania mwenzako kunyimwa kazi/ tenda na kupewa mtu wa nchi jirani. Upumbavu kabisa huu!!
Hawana lolote hao songoro wanatengeneza hauishi mwezi kimeharibika
 
Ngozi nyeusi iogope sana mdau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…