SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Hii kwa kilugha tunaita kutesa kwa zamuKutesa kwa zamu
Kila awamu lazima kuna kundi fulani linatesa
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii kwa kilugha tunaita kutesa kwa zamuKutesa kwa zamu
Kila awamu lazima kuna kundi fulani linatesa
Ova
Unajua maana ya upendeleo au wewe ndiye mjinga?Sasa unafikiri Mv Mwanza ni Ptoject nyepesi mkuu!??
Shuleni ulienda kusomea UJINGA!?
Mbona hutumii akili ya kawaida mkuu
Huyo mjinga Dr Mollel aliemzungumzia ni KarneUnajua maana ya upendeleo au wewe ndiye mjinga?
Unafikiri hiyo meli imejengwa na kampuni moja tu ewe mbumbumbu.
Mkataba si ungesema tu subcontracts kwenye huo ujenzi wapewe wazawa ambao automatically ni Songoro!
BTW: Dr Mollel kasema,"Nchi hii imejaa wajinga sana".
Kweli kabisa. Mchukulie Lissu kwa mfano. Ana mapenzi gani kwa nchi hii wakati watoto wake ni Wamarekani na anajivunia kwa hilo. Halafu yeye na familia yake wanaishi Ulaya. Eti huyo ndiye awatetee Watanzania wa Mazinga, Makunduchi na Nangulukuru!!Hao huwa haziwatoshi na huwa hawana uzalendo zaidi ya kuangalia matumbo yao na uroho wa uongozi.
huyo songoro hana akili kiasi hicho??? kivuko kipya ni bil8.5 yeye ana-tender ukarabati bil10 anajielewa kweli??.Mtoa mada acha siasa fatilia sababu ya kunyimwa.
Kanyimwa sababu alitenda 10bil, wenzake wakatenda 7.5bil
Kazi kwako kuchagua
Hebu jaribu kuwaza nje ya boksi walau kidogo!Mimi kazi yangu hapa Jf ni kutoa taarifa zilizofichwa na kuzianika , huwa sijali kama kuna mnaoumia moja kwa moja
nadhani hoja yako inamhusu Makame MbarawaHebu jaribu kuwaza nje ya boksi walau kidogo!View attachment 2520935
Mmiliki wa Songoro alitoka Mwanza, na mmiliki wa Mayanga Construction Company, ile kampuni iliyokuwa inashinda tenda bila hata kushindanishwa, walipewa tenda ya kujenga mabarabara kibao, wakajenga viwanja vya ndege pamoja na chato airport, Mayanga Construction ipo wapi sasa baada ya mmiliki wake (Jiwe) kufariki? Kweli tulikuwa tunaangamizwa.Songoro Marine ndio kampuni pekeee ( local ) iliyokuwa inapewa tenda za kutengenza meli na vivuko kila mahali nchini Tanzania ( sijui walikuwa wanatumia mbinu gani )
Songoro Marine Mkazi wa Ilemela Mkoani Mwanza , ndiye aliyepewa kazi ya kutengeneza Meli mbili za Ziwa Nyasa , ambazo zilirudishwa gereji baada ya kunusurika kuua abiria wake , mara tu baada ya matengenezo .
Huyu kwa sasa ni Marehemu baada ya kufariki kwa kilichosemekana ni Ugonjwa wa moyo huko Mbeya , lakini kampuni yake ingali inafanya kazi za meli na vivuko nchini Tanzania .
Lakini leo twaambiwa kwamba amenyimwa kazi ya Kivuko cha Kivukoni na ikapewa kampuni ya Kenya , Kweli bila Koneksheni mambo huwa magumu sana ! Leo kampuni iliyopewa kazi bila hata kuandika barua ya maombi na wala bila kushindanishwa na yeyote inanyimwa kazi !
Ama kweli KILA AWAMU NA MAMBO YAKE .
Ohoooo !!!Mmiliki wa Songoro alitoka Mwanza, na mmiliki wa Mayanga Construction Company, ile kampuni iliyokuwa inashinda tenda bila hata kushindanishwa, walipewa tenda ya kujenga mabarabara kibao, wakajenga viwanja vya ndege pamoja na chato airport, Mayanga Construction ipo wapi sasa baada ya mmiliki wake (Jiwe) kufariki? Kweli tulikuwa tunaangamizwa.
Jamaa zang wazee wa legacy njoon..!!!Songoro Marine ndio kampuni pekeee ( local ) iliyokuwa inapewa tenda za kutengenza meli na vivuko kila mahali nchini Tanzania ( sijui walikuwa wanatumia mbinu gani )
Songoro Marine Mkazi wa Ilemela Mkoani Mwanza , ndiye aliyepewa kazi ya kutengeneza Meli mbili za Ziwa Nyasa , ambazo zilirudishwa gereji baada ya kunusurika kuua abiria wake , mara tu baada ya matengenezo .
Huyu kwa sasa ni Marehemu baada ya kufariki kwa kilichosemekana ni Ugonjwa wa moyo huko Mbeya , lakini kampuni yake ingali inafanya kazi za meli na vivuko nchini Tanzania .
Lakini leo twaambiwa kwamba amenyimwa kazi ya Kivuko cha Kivukoni na ikapewa kampuni ya Kenya , Kweli bila Koneksheni mambo huwa magumu sana ! Leo kampuni iliyopewa kazi bila hata kuandika barua ya maombi na wala bila kushindanishwa na yeyote inanyimwa kazi !
Ama kweli KILA AWAMU NA MAMBO YAKE .
🤣🤣🤣🤣🤣
Pamoja na yote kampuni ya Songoro ina ujuzi wa miaka mingi,imejenga vivuko vingi tu kule Ziwa Victoria, hii kampuni haikuanza jana kama unavyotaka kutuaminisha na pia kunusurika kwa abilia au kupata ajali sio kigezo cha kusemakuwa mtengenezaji haweze kazi, hata Boeing au Airbus zianapata ajali sembuse kampuni ya Songoro? je ni ajali ngapi za majini zimesababishwa na vivuko vya Songoro,nia yako ya kuleta hizi pumba ni kuonyesha kwamba Songoro walikuwa wanapendelewa na umeshasahau kuwa kwenye tenda kuna kupata na kukosa, na hao Wakenya ni wala rushwa balaa, nadhani ungeshangaa bei ya matengenezo ambayo ni sawa na bei ya kununulia hicho kivuko, hilo huongelei!Songoro Marine ndio kampuni pekeee ( local ) iliyokuwa inapewa tenda za kutengenza meli na vivuko kila mahali nchini Tanzania ( sijui walikuwa wanatumia mbinu gani )
Songoro Marine Mkazi wa Ilemela Mkoani Mwanza , ndiye aliyepewa kazi ya kutengeneza Meli mbili za Ziwa Nyasa , ambazo zilirudishwa gereji baada ya kunusurika kuua abiria wake , mara tu baada ya matengenezo .
Huyu kwa sasa ni Marehemu baada ya kufariki kwa kilichosemekana ni Ugonjwa wa moyo huko Mbeya , lakini kampuni yake ingali inafanya kazi za meli na vivuko nchini Tanzania .
Lakini leo twaambiwa kwamba amenyimwa kazi ya Kivuko cha Kivukoni na ikapewa kampuni ya Kenya , Kweli bila Koneksheni mambo huwa magumu sana ! Leo kampuni iliyopewa kazi bila hata kuandika barua ya maombi na wala bila kushindanishwa na yeyote inanyimwa kazi !
Ama kweli KILA AWAMU NA MAMBO YAKE .
Songoro Marine walitaka Bil 10Pamoja na yote kampuni ya Songoro ina ujuzi wa miaka mingi,imejenga vivuko vingi tu kule Ziwa Victoria, hii kampuni haikuanza jana kama unavyotaka kutuaminisha na pia kunusurika kwa abilia au kupata ajali sio kigezo cha kusemakuwa mtengenezaji haweze kazi, hata Boeing au Airbus zianapata ajali sembuse kampuni ya Songoro? je ni ajali ngapi za majini zimesababishwa na vivuko vya Songoro,nia yako ya kuleta hizi pumba ni kuonyesha kwamba Songoro walikuwa wanapendelewa na umeshasahau kuwa kwenye tenda kuna kupata na kukosa, na hao Wakenya ni wala rushwa balaa, nadhani ungeshangaa bei ya matengenezo ambayo ni sawa na bei ya kununulia hicho kivuko, hilo huongelei!
Sio siasa huyo songoro ni sawa tu na Mayanga construction makampuni ya watoto wa ChatoMtoa mada acha siasa fatilia sababu ya kunyimwa.
Kanyimwa sababu alitenda 10bil, wenzake wakatenda 7.5bil
Kazi kwako kuchagua
Connection ya jiwe haipo tenaNi jambo zuri sana kwa kazi hizi kupewa mzawa. Ndiyo kujenga uwezo wa ndani hivyo. Alitakiwa aendelee kupewa.
Hawana lolote hao songoro wanatengeneza hauishi mwezi kimeharibikaEti wewe ni Mwana Chadema unayefikiria siku moja chama chako eti kitawale Tanzania wakati unasifia Mtanzania mwenzako kunyimwa kazi/ tenda na kupewa mtu wa nchi jirani. Upumbavu kabisa huu!!
Wanadhani tunaandika kibwegeSio siasa huyo songoro ni sawa tu na Mayanga construction makampuni ya watoto wa Chato
[emoji38][emoji38][emoji38]Hawana lolote hao songoro wanatengeneza hauishi mwezi kimeharibika
Ngozi nyeusi iogope sana mdauSongoro Marine ndio kampuni pekeee ( local ) iliyokuwa inapewa tenda za kutengenza meli na vivuko kila mahali nchini Tanzania ( sijui walikuwa wanatumia mbinu gani )