Songwe: Aua kisha kuula nyama mwili wa marehemu

denooJ

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2020
Posts
18,509
Reaction score
68,228
Lazaro Adamsom mwenye miaka 40 mkazi wa Songwe, anatuhumiwa kumuua Berta Shugha mwenye miaka 69, kisha kuukata kata mwili wake na kuuchoma kama mishkaki, kisha kuila.

My Take: Tunapoelekea panatisha sana.

----
Mkuu wa wilaya hiyo Simon Simalenga amesema mtuhumiwa alidai kwamba alimuua mwanamke huyo kwa kumpiga panga kisogoni na katikati ya kichwa na kwamba alipopoteza maisha ndipo akaanza kumkata kata.

"Alisema baada ya kumuua alimkata nyayo za miguu yote, akatoa utumbo na kuukamulia kwenye beseni na yeye anadai kuwa alianza kula kwa vile alikuwa na hamu ya nyama," amesema DC Simalenga.

Aidha awali baadhi ya viungo vya marehemu havikujulikana vilipo na baadaye vilipatikana "Baadhi ya viungo ambavyo vilikuwa havionekani kama vile mapaja, hatimaye Askari wetu wa Jeshi la Polisi wamevipata vikiwa vimefichwa katika shimo la choo ambacho kilikuwa hakitumiki, viungo hivyo vimepatikana vikiwa vimechomwa na katika hali ya kushangaza mtuhumiwa alianza kula nyama hiyo mbele ya Askari," ameongeza Simalenga.

Wakizungumzia tukio hilo ambalo limetokea usiku wa Novemba 13, 2022, Baadhi ya wakazi wa kitongoji cha Chang’ombe walisema walishtukia uwepo wa mauaji hayo baada ya kuona damu nyingi zikiwa zimezagaa kwenye nyumba ya mtuhumiwa, jambo ambalo halikuwa la kawaida.
 
Lazaro Adamson (40) mkazi wa Kaloleni wilayani Songwe, anashikiliwa na polisi mkoani Songwe kwa kumuua Berta Shugha (69), na kisha kuukata kata mwili wake vipande vipande na kuuchoma na kuanza kuula kama mishikaki.

Mkuu wa wilaya hiyo Simon Simalenga amesema mtuhumiwa alidai kwamba alimuua mwanamke huyo kwa kumpiga panga kisogoni na katikati ya kichwa na kwamba alipopoteza maisha ndipo akaanza kumkatakata.
20221115_112242.jpg

Source: EATV
====

View attachment 2417340

katika hali ya kushangaza mtuhumiwa alianza kula nyama hiyo mbele ya Askari," ameongeza Simalenga.[emoji3064]
 
Huyo mtuhumiwa nina Uhakika dish litakuwa limeyumba 100%

Ukiwa na akili timamu huwezi kufanya Unyama wa namna hiyo tena ukala na nyama kabisa.

What the fuvk!
 
Lazaro Adamson (40) mkazi wa Kaloleni wilayani Songwe, anashikiliwa na polisi mkoani Songwe kwa kumuua Berta Shugha (69), na kisha kuukata kata mwili wake vipande vipande na kuuchoma na kuanza kuula kama mishikaki.

Mkuu wa wilaya hiyo Simon Simalenga amesema mtuhumiwa alidai kwamba alimuua mwanamke huyo kwa kumpiga panga kisogoni na katikati ya kichwa na kwamba alipopoteza maisha ndipo akaanza kumkatakata.
View attachment 2417340
Source: EATV
====
Mkuu wa wilaya hiyo Simon Simalenga amesema mtuhumiwa alidai kwamba alimuua mwanamke huyo kwa kumpiga panga kisogoni na katikati ya kichwa na kwamba alipopoteza maisha ndipo akaanza kumkata kata.

"Alisema baada ya kumuua alimkata nyayo za miguu yote, akatoa utumbo na kuukamulia kwenye beseni na yeye anadai kuwa alianza kula kwa vile alikuwa na hamu ya nyama," amesema DC Simalenga.

Aidha awali baadhi ya viungo vya marehemu havikujulikana vilipo na baadaye vilipatikana "Baadhi ya viungo ambavyo vilikuwa havionekani kama vile mapaja, hatimaye Askari wetu wa Jeshi la Polisi wamevipata vikiwa vimefichwa katika shimo la choo ambacho kilikuwa hakitumiki, viungo hivyo vimepatikana vikiwa vimechomwa na katika hali ya kushangaza mtuhumiwa alianza kula nyama hiyo mbele ya Askari," ameongeza Simalenga.

Wakizungumzia tukio hilo ambalo limetokea usiku wa Novemba 13, 2022, Baadhi ya wakazi wa kitongoji cha Chang’ombe walisema walishtukia uwepo wa mauaji hayo baada ya kuona damu nyingi zikiwa zimezagaa kwenye nyumba ya mtuhumiwa, jambo ambalo halikuwa la kawaida.
Vipimo vya akili vinahitajika kila sehemu nchini
 
Yote hayo yanaletelezwa na ccm..hali ngumu sana sana mtaani🥴
Hahahaha.............kwamba Chama ndiyo kimeyalea haya matatizo!

Serikali ianzishe huduma ya Bure Wananchi wawe wanapimwa akili ili kupunguza haya matatizo. Mwingine anaweza kuleta madhara makubwa zaidi ya mauaji kwa kigezo Cha kutokuwa na akili timamu
 
There you are
 
Back
Top Bottom