Songwe: Aua kisha kuula nyama mwili wa marehemu

kuna Fala mmoja amenizingua huu ni mwezi wa pili ananipiga sound na hela zangu, nafikiri hii inaweza kuwa dawa yake, kumalizana naye na kumtafuna mishikaki tu iwe fundisho kwa watu wengine wenye tabia za kudhulumudhulumu..
 
H
Lazaro Adamsom mwenye miaka 40 mkazi wa Songwe, anatuhumiwa kumuua Berta Shugha mwenye miaka 69, kisha kuukata kata mwili wake na kuuchoma kama mishkaki, kisha kuila.

My Take: Tunapoelekea panatisha sana.

----
Mkuu wa wilaya hiyo Simon Simalenga amesema mtuhumiwa alidai kwamba alimuua mwanamke huyo kwa kumpiga panga kisogoni na katikati ya kichwa na kwamba alipopoteza maisha ndipo akaanza kumkata kata.

"Alisema baada ya kumuua alimkata nyayo za miguu yote, akatoa utumbo na kuukamulia kwenye beseni na yeye anadai kuwa alianza kula kwa vile alikuwa na hamu ya nyama," amesema DC Simalenga.

Aidha awali baadhi ya viungo vya marehemu havikujulikana vilipo na baadaye vilipatikana "Baadhi ya viungo ambavyo vilikuwa havionekani kama vile mapaja, hatimaye Askari wetu wa Jeshi la Polisi wamevipata vikiwa vimefichwa katika shimo la choo ambacho kilikuwa hakitumiki, viungo hivyo vimepatikana vikiwa vimechomwa na katika hali ya kushangaza mtuhumiwa alianza kula nyama hiyo mbele ya Askari," ameongeza Simalenga.

Wakizungumzia tukio hilo ambalo limetokea usiku wa Novemba 13, 2022, Baadhi ya wakazi wa kitongoji cha Chang’ombe walisema walishtukia uwepo wa mauaji hayo baada ya kuona damu nyingi zikiwa zimezagaa kwenye nyumba ya mtuhumiwa, jambo ambalo halikuwa la kawaida.
Hawa wapuuzi siwapendi hata kidogo samahani kwa lugha yangu kali
 
Cannibalism imeanza , maisha magumu na njaa zimewabinda watz mpaka mmekuwa cannibals , [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji85][emoji85][emoji85]
 
Naona siku serikali ikiamua tupimwe afya ya akili nchi nzima, sijui kama kuna atakayebaki salama....
Kuna watafiti walisema asilimia 80 ya watz wana matatizo ya akili ,sasa wewe unategemea kuna taifa hapo au mazombie tu ,hata hao wanaoongoza hili taifa ni reflection ya jamii yenyewe ilivyo .
 
Kumbe inawezekana inawezekana kutakuja kutokea outbreak ya mazombie kama tuonavo kwenye movie.
 
Back
Top Bottom