Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Elewa. Ushaambiwa wakinga hawataki competition sijui huduma Bora wao wanataka mauza-uza tuMbona Kilimanjaro dar Arusha ana huduma nzuri sana?
ripoti ya awali ya polisi inasema basi halikua na tatizo lolote la kiufundi kabla ya safari.Mabasi ya Kilimanjaro mabovu sana!
Hizi alinunua body kutoka kwa dar lux, akatoa engine za weichai ilizokuja nazo akaweka jiko lake la scania.Acha mambo ya kuhisi hisi. Kampuni ina bus mengi tu ya kuagiza ambayo hata kampuni zingine zinaota kuyamiliki. View attachment 2149819
Kuna LATRA sikuhiziUna ushahidi? Kwahiyo unapingana na SUMATRA?
Usipangie watu namna ya kuendesha biashara zaoMabasi yana namba ABX bado yanapiga long safari sio sawa! Hata Abood ana kamchezo hako; yale ya zamani ndio yanapigishwa long safari; mapya yanaishia hapo Morogoro. Huwa siwaelewi.